mtihani wa form 2 unaisha lini??...naona leo hukuwa na mtihani au leo ilikuwa bukiping na we husomi hiyo etimpigamsuli Learn something...
Au unadhani kupost post utoto ni raha..?
This time we'll not watch you guys misbehaving, then we yell angrly while loughing..
You'll see its like a game, and you'll start competing for scores...
Jifunze kuwa msomi....!
mtihani wa form 2 unaisha lini??...naona leo hukuwa na mtihani au leo ilikuwa bukiping na we husomi hiyo eti
nina kijana yangu kidato cha pili naye anafanya mitihani now....bt sijuji leo mtihani ganimh had ratiba unajua naxkia wastan wenu umepanda
nina kijana yangu kidato cha pili naye anafanya mitihani now....bt sijuji leo mtihani gani
i was just guessing
well, bila elimu hata zile kamari pale LeGrande ningekuwa naliwa kila siku
Hihihiii kidole007 usinichekeshe....
Na wewe ni mzee wa ku-bet..??
Kuna uzi fulani humu jukwaani (worid's most intelligent people)
Kuna jamaa fulani wa 6 kwa IQ,eti ni mcheza cheese mmoja hatari sana...
Sikutaka kuwataja majina hawa watoto wenye michezo ya kipumbafff, NOW THEY'VE FRAMED THEMSELVES...
Hawaambiliki wala kushaurika, ama kweli sikio la kufa halisikii dawa....
Inasikitisha sana kuona kijana DAMU IMATOKOTA akifanya ushenzzz na wazee ndio wanaachiwa zigo la kusukuma gurudumu la maendeleo...
Guys be SERIOUS...
Anadai mitihani ilikuwa ya wastani na nitegemee matokeo mazuri.......bado nipo kwenye seminar mkuu nikipata free time ndo huwa nakuja kuchungulia huku si unajua tena wadau wa elimu ndo chemba yetu hii...hapa nasubiri tu vijana wa Mulugo waende vyuoni jukwaa liwe kama zamani ndugu yangu... ActivisterItawachukua muda mrefu kujitambua kwanini Mpo hapa......
Kosoa na kudhihaki kama wewe siyo mmoja wao.......
Ni hayo tu.
Mbwiga88 nipo mbali na familia vipi kijana ameionaje Necta?
na vipi upo mkoani au usharudi kwenye Majukumu Pwani.
mh had ratiba unajua naxkia wastan wenu umepanda
kuna program inaitwa Mavis Beacon nakushauri uitafute itakusaidia sana sitaki kuamini unakurupuka katika uchapaji wako nadhani una tatizo tu bado hujaizoea vizuri hiyo PC yako mpya unayotaka uende nayo chuoni....unaweza ukatumia TYPING MASTER iko vizuri pia kwa beginnersHihihiii kidole007 usinichekeshe....
Na wewe ni mzee wa ku-bet..??
Kuna uzi fulani humu jukwaani (worid's most intelligent people)
Kuna jamaa fulani wa 6 kwa IQ,eti ni mcheza cheese mmoja hatari sana...
mtihani wa form 2 unaisha lini??...naona leo hukuwa na mtihani au leo ilikuwa bukiping na we husomi hiyo eti