Sumbawanga mjini hapatoshi! Je watachakachua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumbawanga mjini hapatoshi! Je watachakachua?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ESCO, Nov 1, 2010.

 1. E

  ESCO Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hali ni tete Sumbawanga Mjini. Waziri Mkubwa atia Timu Kunusuru Chama. Matokeo yanasuburiwa kwa hamu. Mabomu yaanza kutumika kuwasambaratisha wafuasi wa upinzani.
  Wenye data zaidi leteni.
   
 2. B

  Babasean Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu atuepushie mbali haya machafuko yanayoelekea kuletwa na hawa jamaa wa ccm.
   
 3. E

  ESCO Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Mabomu yanaendelea kurindima Sumbawanga Mjini. Matokeo ya awali toka kwa makada
  UBUNGE - Yamsebo (16,868) wa Chadema , Aishe (16,765) wa CCM.
  Matokeo ya Rais yametangazwa, ya UBUNGE hadi saa usiku!
   
 4. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ya Urais bado Mkuu!!! kwasababu wale wasimamizi wa kura eti wanasema kura ZENYE MGOGORO badala ya KURA ZILIZOHARIBIKA!!! hii inaonyesha kuna walakini fulani wanataka kuchakachua mambo...ngoja wapigwe juju sasa.....:smile-big:
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Safi sana Yamsebo!!!
   
Loading...