Si ndiyo hapo sasa. Chama kinahangaika kujaza viponeo na vipozeo vya watu ili vipate kura ya kutinga ikulu 2020. Mkakati huu haujawahi tokea kwingine duniani. Only in Tanzania. Ila inapendeza hata kama haitafanikiwa. Tuwe na warembo political party badala ya commanders political party. Haya ndiyo mabadiliko mwanana.Sumaye anamzungumzia Wema sepetu?
Sumaye yule alokua waziri mkuu? Leo anamzungumzia Wema kiponeo cha watu[emoji23] [emoji23]
Kweli msimu huu mgumu sana
[emoji13] [emoji13] [emoji13] walilalamika sana alipoitwa. .....l. .o..f...a na mtu aliyefanya nae kazi 10yrs!hakukosea! [emoji28][emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi huyu wakuitwa Sumaye ndo ameshuka dau kiasi hiki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] chadomo....hoi! Nyumbuuuuù!lofa ni lofa tu!Keshafunguka, video hii hapa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilitegemea leo atapokewa chadema na mashoga wote 50 wa hapa mjini.
Na hicho ndicho Wema alifuata huko maana kule ccm aliambulia nothing apart from being prosecuted for drugs usage.Ndicho kinachofuatia.
Chadema hawana kazi.Huyu wema alishakabidhiwa kadi rasmi na mama yake ausasa wanapewa kadi za bawacha?Kwa mujibu wa Ndugu Sumaye ambaye ndiye amepewa jukumu la kumpokea Wema na Mamaake na kuwakabidhi kadi za kujiunga ameshindwa sababu ya kuchelewa mahakamani.
https://www.facebook.com/video.php?v=10155609546839339
Kumbuka kuwa Ktk kile watanzania wa nne mmoja ni mpumbavu Kama utafiti ulivyobaini kwahiyo Ktk watanzania milionin 40 tuna wapumbavu milioni 10. Kwahiyo wema akitupatia nusu ya kura za hawa milioni 10 mbona chadema ushindi ni Wetu.halafu Chadema ni chama cha kila mtanzania Bila kujali uwezo wako.tunawakaribisha ma professor mpaka machizi.Hivi kweli CHADEMA mmefikia stage ya kuanza kuangaika na WEMA kweli??????.....jamani jamani
Mnakijengea picha gani hiki CHAMA?????.......Wema is no more asset tena na si mtu wa kuwafikisha mnapotaka nyie....
EBU kirudisheni chama chenu kwenye misingi yake jamani.....
Dr Slaa MZEE WANGU kokote ulipo kule ebu rudi NCHINI uanzishe CHAMA KIPYA CHA SIASA.........
acha bangi kijanaKumbuka kuwa Ktk kile watanzania wa nne mmoja ni mpumbavu Kama utafiti ulivyobaini kwahiyo Ktk watanzania milionin 40 tuna wapumbavu milioni 10. Kwahiyo wema akitupatia nusu ya kura za hawa milioni 10 mbona chadema ushindi ni Wetu.halafu Chadema ni chama cha kila mtanzania Bila kujali uwezo wako.tunawakaribisha ma professor mpaka machizi.
CcmWaziri mkuu mstaafu (10yrs) wa JMT kiongozi wa tatu kutoka juu!!!
Sijui nani kaleta dhana hii CDM. Wanataka kusema followers wote wa Diamond wataipigia kura CCM? Utafiti huu ....Nimeona mahali inasemekana ati ana "folowaaz" milioni moja huko Insta na hizo ni kura atakazopeleka kwenye chama. Different ways za kuyaangalia mambo. 🙂
[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3]Sumaye anamzungumzia Wema sepetu?
Sumaye yule alokua waziri mkuu? Leo anamzungumzia Wema kiponeo cha watu[emoji23] [emoji23]
Kweli msimu huu mgumu sana
Labda ndio mwenye mkakati wa kisiasa aliousema Mbowe.Chadema hawana kazi.Huyu wema alishakabidhiwa kadi rasmi na mama yake ausasa wanapewa kadi za bawacha?
Mbona Mkapa alivyowaita wapumbavu mlilalamika haki za binadamu.Kumbuka kuwa Ktk kile watanzania wa nne mmoja ni mpumbavu Kama utafiti ulivyobaini kwahiyo Ktk watanzania milionin 40 tuna wapumbavu milioni 10. Kwahiyo wema akitupatia nusu ya kura za hawa milioni 10 mbona chadema ushindi ni Wetu.halafu Chadema ni chama cha kila mtanzania Bila kujali uwezo wako.tunawakaribisha ma professor mpaka machizi.
Hii Nchi maajabu ni mengi sana walahKeshafunguka, video hii hapa!
LIKE SERIOUS!Wakati mwingine huwa siielewi siasa aisee...full mkorogano!!