Sumaye: Wema Ashindwa Kutoa Ya Moyoni

Sasa hivi Mbowe kakosa mwelekeo..Dr. Slaa aliwahi kiwaambia wasipokuwa na misingi ya chama na kuiheshimu itawagharimu. Na ndio linaloendelea sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Slaa tuliyemwita Dr.Mhogo arudi kufanya nini,tuna akili kubwa kutoka Havard na Mrembo wa kupeperusha bendera ya Chama chetu.
 
NASHANGAA..............................................
 
NASHANGAA..............................................
 
Hivi si audio ilivuja kuwa huyu demu anagongwa na Mwenyekiti wenu.. Haaaa
Hawara ya mwenyekiti wenu mpeni heshima.. Haaa.. pole Sumaye, umefikia kupewa order ya kumpokea chakula ya mwenyekiti.. Haaaa, siasa zingine matusi tupu..
 
Kweli Mkuu umenena.
Yani kweli kweli Sumaye na heshima yake kweli ndie mtu wa kumlamba Wema miguu???
This is too much. Kuna mahali nilisha andika mpaka 2020 kutakuwa hakuna tena upizani.
 
Sumaye anamzungumzia Wema sepetu?
Sumaye yule alokua waziri mkuu? Leo anamzungumzia Wema kiponeo cha watu[emoji23] [emoji23]

Kweli msimu huu mgumu sana
Sumaye katia aibu kwa kweli. Chadema ndio wanakufa hivyo.
Leo JF kumetulia maana Chadema wamejificha kwa aibu ya kikao cha siku mbili then wakatoka na mashudu.
 
Weye Matiti, hebu tulia. Utamwagikiwa mkojo wa shetani bure. Tulia!
Sawa bingwa wa maneno machafu. Lakini mimi nilikupa ushauri wa bure tu, sio lazima uupokee. Post zako zina akisi kilichopo kwenye ubongo wako.
 
Huku ni kupoteana kisiasa au nini!!!

Yaani leo CDM mmeanza kutenga mda wenu kumsubiri Wema muigizaji!!!
Keki ya Taifa.... lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
hivi leo FREDERICK SUMAYE NI WA KUTOA UPDATES ZA WEMA SEPETU?

hivi siasa huwa zinawafanyaga nini?
Watu8 nisaisdie kuuliza pls
Wakati mwingine huwa siielewi siasa aisee...full mkorogano!!
 
Sawa bingwa wa maneno machafu. Lakini mimi nilikupa ushauri wa bure tu, sio lazima uupokee. Post zako zina akisi kilichopo kwenye ubongo wako.
Vema kama umenisoma. Usipende kurukiarukia mipera hovyo. Utaja ng'atwa na nyigu bure!
 

Nimeona mahali inasemekana ati ana "folowaaz" milioni moja huko Insta na hizo ni kura atakazopeleka kwenye chama. Different ways za kuyaangalia mambo. 🙂
 
Mr Zero ndio amekuwa mpambe kweli kabisa acha waoane acha waoane ...
 
Mr Zero ndio amekuwa mpambe kweli kabisa acha waoane acha waoane ...
 
Mr Zero ndio amekuwa mpambe kweli kabisa acha waoane acha waoane ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…