Kwa mujibu wa Ndugu Sumaye ambaye ndiye amepewa jukumu la kumpokea Wema na Mamaake na kuwakabidhi kadi za kujiunga ameshindwa sababu ya kuchelewa mahakamani.
bahati mbaya mkuu mimi sio mshabiki wa siasa/chama chochote ndo maana nashangaa kutenga mda wa kumkaribisha muigizaji kwenye chama tena wakati mwingine hiyo shughuli huwa inafanyika na viongozi wakubwa kabisa!!Mmesahau dodoma mlitenga muda kwenye mkutano mkuu wa chama chenu kwa ajili ya wolper!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka wakati huo umesikia kuzungumziwa au kupandishwa majukwaani. Alirudi CCM hadithi ikawa imeisha Leo Wema wakuitiwa ili kujaza watu? Yaani sumaye amekwisha hadi apate msaada wa Wema watu wajae kwenye mkutano wake?Mmesahau dodoma mlitenga muda kwenye mkutano mkuu wa chama chenu kwa ajili ya wolper!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha kwa hiyo umemwamini sababu anaongea akitoa machozi?Asante mkuu kwa ufafanunuzi, ningeshangaa kama kweli mda ulitengwa maalum kwa ajili hiyo!!!
Nafikiri wewe ndiye unakimbilia kujibu bila kuelewa. Huu ndio ukweli 'kamanda' Wema kachemka kunena ya moyoni.Tatizo watu wanakimbilia kujibu uzi bila kutafakari walau kidogo!Hizi propaganda na uzushi haziwezi kuwasaidia lumumba!
Hapo sasa, yaonesha jinsi binadamu anavyoweza kupanda na kushuka! Ila hamna cha mahakamani wala nini, wanamthibiti tu baada ya kuwatia aibu..Hivi kwenye upinzani tuanze kuwashangalia Act ACT Wazalendo nini?! Maana hawa jamaa wanaonekana hawana mbele wala nyuma...hivi leo FREDERICK SUMAYE NI WA KUTOA UPDATES ZA WEMA SEPETU? hivi siasa huwa zinawafanyaga nini? Watu8 nisaisdie kuuliza pls
Maneno hayo Sumaye kayasemea wapi?Chanzo cha habari yako ni nini?Nafikiri wewe ndiye unakimbilia kujibu bila kuelewa. Huu ndio ukweli 'kamanda' Wema kachemka kunena ya moyoni.
Keshafunguka, video hii hapa!
Sumaye maneni hayo kayazungumza akiwa wapi???Chanzo cha habari yako ni kipi?Kwa mujibu wa Ndugu Sumaye ambaye ndiye amepewa jukumu la kumpokea Wema na Mamaake na kuwakabidhi kadi za kujiunga ameshindwa sababu ya kuchelewa mahakamani.
hivi leo FREDERICK SUMAYE NI WA KUTOA UPDATES ZA WEMA SEPETU?
hivi siasa huwa zinawafanyaga nini?
Watu8 nisaisdie kuuliza pls
Chadema wamechanganyikiwa, wameamua kumdhalilisha Sumaye.hivi leo FREDERICK SUMAYE NI WA KUTOA UPDATES ZA WEMA SEPETU?
hivi siasa huwa zinawafanyaga nini?
Watu8 nisaisdie kuuliza pls
haha haha!! mkuu nimecheka sana.Ha ha kwa hiyo umemwamini sababu anaongea akitoa machozi?
la Sumaye ni dogo kali kuliko ni pale ambapo Shonza na Mwampamba walipofukuzwa CHADEMA na kwenda kutafuta maficho CCM mtu aliye andaliwa kuwapokea ni mwenyekiti taifa wa CCM na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzaniahivi leo FREDERICK SUMAYE NI WA KUTOA UPDATES ZA WEMA SEPETU?
hivi siasa huwa zinawafanyaga nini?
Watu8 nisaisdie kuuliza pls
Ha ha ha wewe tulia tu utapata ukweli, tupo hapa kwenye ofisi ya kanda Mzee Sumaye anatafuta jinsi ya kuuhadaa umma.Maneno hayo Sumaye kayasemea wapi?Chanzo cha habari yako ni nini?
Kwamba na wewe Umekubali kuwa "Sumaye" anayetajwa na huyu mtoa post atakuwa Frederick Sumaye Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA?hivi leo FREDERICK SUMAYE NI WA KUTOA UPDATES ZA WEMA SEPETU?
hivi siasa huwa zinawafanyaga nini?
Watu8 nisaisdie kuuliza pls