MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Kumbe una mawazo mgando pamoja na kuwa umekwenda Shule. Umeshindwa kumuelewa amesema nini Sumaye mpaka utoe tafsiri mbovu kiasi hicho?When you rewind the tape up to Saturday, 22nd August 2015 utamsikia Sumaye akisema amejiunga upinzani ili kuwafundisha wapinzani jinsi ya kuendesha siasa na serikali huku akiwasifu Dk. Slaa na Prof. Lipumba kuwa ni moja kati ya waliousimamisha upinzani vyema.
Dk Slaa has gone and Prof. Lipumba political future has been hanging by a thread since the day Sumaye and Lowassa left CCM to join CHADEMA.
Fastforward mpaka Sunday 9th October 2016 tunamsikia akitoa maneno ambayo ukiyachunguza yanaonyesha aliokuwa anadhani atawafundisha kazi kwa sasa ndio wanaomfundisha kazi ya uvumilivu.
Maelezo ya Mzee wangu Sumaye yanaonyesha yuko katika deep regret and remorse. The journey and new political adventure has cost him something emotionally or financially and led to a punishment or undesirable result.
Haishangazi kwa sasa tunasikia anataka kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa.
From Tanzania Prime Minister to CHADEMA Regional Chairman. Hii ni ishara kamili ya frustration for unfinished political business.
Tusije kushangaa kusikia amerudi CCM!
Siasa za Tanzania ni majanga!
Hata wewe una haki ya kutoa tafsiri yako lakini siwezi kuita tafsiri yako ni mawazo mgando kwa sababu sina hati miliki ya tafsiri.Kumbe una mawazo mgando pamoja na kuwa umekwenda Shule. Umeshindwa kumuelewa amesema nini Sumaye mpaka utoe tafsiri mbovu kiasi hicho?
Nikionana naye nitamwambia arudi Ccm bado busara zake zinahitajika kila mtu anakumisi huku mzee Sumaye huko ni kwa vijana waliokata tamaa mzee.
Atakubali kuwa ng'ombe aliyekatwa mkia?Nikionana naye nitamwambia arudi Ccm bado busara zake zinahitajika kila mtu anakumisi huku mzee Sumaye huko ni kwa vijana waliokata tamaa mzee.
tupe tafsi yako mkuu!Kumbe una mawazo mgando pamoja na kuwa umekwenda Shule. Umeshindwa kumuelewa amesema nini Sumaye mpaka utoe tafsiri mbovu kiasi hicho?
Arudi akafanye nini huko?Nikionana naye nitamwambia arudi Ccm bado busara zake zinahitajika kila mtu anakumisi huku mzee Sumaye huko ni kwa vijana waliokata tamaa mzee.
Kwa taarifa yenu Mh Sumaye si mwanasiasa.When you rewind the tape up to Saturday, 22nd August 2015 utamsikia Sumaye akisema amejiunga upinzani ili kuwafundisha wapinzani jinsi ya kuendesha siasa na serikali huku akiwasifu Dk. Slaa na Prof. Lipumba kuwa ni moja kati ya waliousimamisha upinzani vyema.
Dk Slaa has gone and Prof. Lipumba political future has been hanging by a thread since the day Sumaye and Lowassa left CCM to join CHADEMA.
Fastforward mpaka Sunday 9th October 2016 tunamsikia akitoa maneno ambayo ukiyachunguza yanaonyesha aliokuwa anadhani atawafundisha kazi kwa sasa ndio wanaomfundisha kazi ya uvumilivu.
Maelezo ya Mzee wangu Sumaye yanaonyesha yuko katika deep regret and remorse. The journey and new political adventure has cost him something emotionally or financially and led to a punishment or undesirable result.
Haishangazi kwa sasa tunasikia anataka kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa.
From Tanzania Prime Minister to CHADEMA Regional Chairman. Hii ni ishara kamili ya frustration for unfinished political business.
Tusije kushangaa kusikia amerudi CCM!
Siasa za Tanzania ni majanga!
Ataiota sana CCM,kutoka ligi kuu ya Vodacom,hadi kombe la Mbuzi uwanja wa Kinesi.Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema kuwa mpinzani yataka moyo na mtu yeyote aliyepo upinzani anatakiwa kuwa mvumilivu kwa sababu katika upande huo hakuna ‘mteremko’.
Kiongozi huyo ambaye kwa sasa yupo Chadema amesema kuwa katika chama cha upinzani ni kazi kubwa inayohitaji moyo wa uvumilivu kuliko mtu aliyepo CCM.
Sumaye, ambaye aliweka rekodi ya kushikilia nafasi ya Waziri Mkuu kwa kipindi cha miaka 10 wakati wa Serikali ya Awamu ya Tatu, alihamia upinzani wakati wa harakati za Uchaguzi Mkuu na kuwa mmoja wa wasemaji wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakati wa kampeni.
Akizungumza wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa ofisi ya Chadema wilayani Mkuranga, Sumaye amesema dola haipatikani kirahisi na kwamba inahitaji moyo wa kujitoa miongoni mwa wanachama na viongozi wao.
Tangu alipojiunga na upinzani, Sumaye amekabiliwa na misukosuko kadhaa ikiwamo umiliki wa mashamba makubwa na kuzuiwa kuhudhuria mahafali ya umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma Januari mwaka huu, kitendo kilichomfanya alalamikie watawala na kuonya kuwa kuwazuia wananchi kukusanyika kunaweza kusababisha madhara.
CHANZO:Mwananchi.
Mzee jitahidi kuwa na akiba ya maneno. Kuna uzi hapa wa 2014 kama sikosei unazungumzia what if Lowassa akifukuzwa CCM ataenda CHADEMA? Wadau wa chama husika walijibu mambo kwa hasira na matusi kuwa huyu mtu hawezi kupokelewa CHADEMA, in the end akajiunga CHADEMA na watu wale wale kwa aibu wamelazimika kumeza maneno yao. Mdau hapo kaandika sensible issues, it's just a matter of time. Learn to hold in the words when necessaryKumbe una mawazo mgando pamoja na kuwa umekwenda Shule. Umeshindwa kumuelewa amesema nini Sumaye mpaka utoe tafsiri mbovu kiasi hicho?
Mtoa mada ameeleza Vema. Upinzani kwisha kazi mpaka waliokimbilia huko wanajutaaaaa kuuparamiaaa!Kumbe una mawazo mgando pamoja na kuwa umekwenda Shule. Umeshindwa kumuelewa amesema nini Sumaye mpaka utoe tafsiri mbovu kiasi hicho?