Shighatini
Member
- Oct 6, 2012
- 77
- 14
Bado kidogo ukisafiri na passport ya Tanzania utapigwa marufuku kuingia nchi husika,kwa ajili ya madawa ya kulevyia,tutawekwa kwenye red list,mpaka viongozi watasachiwa.
Kwn EL na unga anauza pia?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sumaye ulikamata kiwanda cha unga kunduchi enzi hizo,kesi iliishia wapi? Sumaye huna usafi wowote wala hauuziki ktk urais
kwa kila mmoja anayeitakia Tanzania neema na amani ni kuikataa ccm na haijalishi ni katika ngazi gani bali mimi au wewe unapomuelimsha mtu mmoja tu kujua kuwa tatizo la nchi hii ni ccm kimsingi unakuwa umeshiriki zoezi muhimu sana na gumu la kuikomboa nchi hii.Huu ujinga wa kuogopa kutajana utaisha lini? Hivi huyu Sumaye asipowataja hao wauza, unga mpiga kura atawajuwaje? Na akiwachaguwa na huku hakujajiwa watamlaumu nani..???
Hebu cheki
1. Raisi alisema anawajuwa wae wezi wa bandari..... HAKUWATAJA
2. Raisi anawajuwa waliorudisha fedha za EPA.... HAKUWATAJA
3. Alisema akiwa kanisa la RC jimbo la Mbinga kuwa anawajuwa wauza unga..... HAKUWATAJA
4. Nape alisema anawajuwa magamba na akawapa siku tisini .... HAKUWATAJA
5. pinda alisema bungeni, Meremeta watatikisa nchi.... HAKUWATAJA
6. Sumaye naye anataka tusiwachague wauza unga kuwa viongozi.... HAJAWATAJA
7. Wanasemasema tu kuwa uchaguzi wa ndani ya CCM mara zote huwa unagubikwa na rushwa.... HAWAWATAJI HAO WALA RUSHWA, LAKINI NA HAO WALA RUSHWA WANAENDELEA TU KUWA MADARAKANI
Tutabaki kutaka huruma ya wananchi kwa kujifanya tunawaonea huruma akina Ray C na wengine wakati waliowafikisha hapo HATUWATAJI
Maelezo ya Sumaye yamejitosheleza kabisa. Ni watanzania tuwe makini na EL.
Cha ajabu nikuwa, akikamatwa mtu mdogo na gari la wizi, watatafuta up direction mpaka wampate nguli wa mambo hayo... Lakini suala la madawa, mateja wanawafahamu tena wengine wanakutana na raisi (e.g RAY C), kwa nini wasianze na hao mateza mpaka wakawafikia manguli wa shughuri hii..??? Hii inaonyesha kuwa wakubwa a.k.a vigogo wa nchi hii ndo wafanya biashara wakubwa wa madude hayo... NA HAYA MADUDE YANAKOTUPELEKA NI KUKABIDHI BANDARI ZOTE KWA WACHINA... Kwani nani asiyependa kumuokoa mtoto wake toka kwenye kifo..??UJI NGA mwingine, Biashara ya Unga imeanza awamu ya Nne? If no, Atutajie majina ya wauza unga wakubwa na mashuhuri ambao akiwa waziri mkuu walihukumiwa vifungo? Huyu Sumaye akiwa waziri mkuu, alizubaa mpaka Nkapa akauza kiwira, wizi wa EPA ukatokea na Ikulu iligeuzwa genge la Mafisadi, leo anajifanya mlokole. Kama alishindwa akiwa kijana mwenye nguvu, ataweza uzeeni?
kwani Sumaye hazitaki kucha na meno yake? kama JK anawajua na hazitaki unategemea nini? Amina Kifupa yuko wapi? Mwakwembe atasema mengi anayajua akiyataja bunge hakukaliki policcm kapewa njia wanatumia kuzuru wenye ndomo tetea haki file limekariwaMaelezo ya Sumaye yamejitosheleza kabisa. Ni watanzania tuwe makini na EL.
Cha ajabu nikuwa, akikamatwa mtu mdogo na gari la wizi, watatafuta up direction mpaka wampate nguli wa mambo hayo... Lakini suala la madawa, mateja wanawafahamu tena wengine wanakutana na raisi (e.g RAY C), kwa nini wasianze na hao mateza mpaka wakawafikia manguli wa shughuri hii..??? Hii inaonyesha kuwa wakubwa a.k.a vigogo wa nchi hii ndo wafanya biashara wakubwa wa madude hayo... NA HAYA MADUDE YANAKOTUPELEKA NI KUKABIDHI BANDARI ZOTE KWA WACHINA... Kwani nani asiyependa kumuokoa mtoto wake toka kwenye kifo..??