boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 5,806
- 4,221
Siasa za Tanzania ni Siasa za kipumbavu kwasababu wanatawala wananchi wapumbavu
CCM mna hati miliki ya hii nchi??Chadema haipo juu ya sheria na utaratibu
Hawezi kuingia bila taarifa kwenye ukumbi wa halmashauri wakiwa na sare za chama kisha kufanya vikao!
Walipaswa kufuata utaratibu
Pia Sumaye hana wakumtisha
Aache kutoa hizo kauli za kijinga
kila binadamu hukosea kwa wakati wake ukifika wakati akaona njia hurudi kundiniSumaye huyu, "... ukitaka mambo yako yafanikiwe njoo CCM" - Naikumbuka kauli hii ya kifedhuri. Acha aumizwe, wametuumiza sana wakiwa upande ule.... simuonei huruma japo yuko upande wetu sasa. What goes around... hata watesi wetu wa sasa kuna muda watakuwa kama Sumaye... Historia ni mwalimu mzuri sana.
Hizo sheria unazo taka mwenzetu ziheshimiwe zilitungwa kwa ajili ya kuheshimiwa na upinzani pekee?? Maana naoina bulembo anapiga jaramba kila siku huko majimboni na kwenye miradi , acheni ubinafsi unajenga chuki na taifa haliwezi kusonga mbele maana litakuwa na laana ya manung'uniko - hiyo ni kiroho zaidi kwa wanao aminiUtaratibu wa kutembelea miradi ukoje?
Sumaye atambue na kuheshimu mamlaka za nchi...!
Sumaye huyu, "... ukitaka mambo yako yafanikiwe njoo CCM" - Naikumbuka kauli hii ya kifedhuri. Acha aumizwe, wametuumiza sana wakiwa upande ule.... simuonei huruma japo yuko upande wetu sasa. What goes around... hata watesi wetu wa sasa kuna muda watakuwa kama Sumaye... Historia ni mwalimu mzuri sana.
Ninacho sangaa zaid ni pale sheria zinapo hitajika zitumie na kundi moja huku lingine likizigeuzia mgongo hiyo ni roho ya ubinafsi na italifanya taifa lisisonge mbele kwa litakuwa ni taifa la manung'uniko mda wote na manung'uniko yakizid sana ni laana kwa taifa - hii ni kiimani zaid kwa wanao amini katika maandiko matakatifuKuna utaratibu unatakiwa kufuatwa
Sio kukurupuka tu
Upumbavu ni kufanya mambo bila kuzingatia sheria ukategemea utaachwa eti kisa una kitambi!
Nimeuliza swali ...utaratibu wa kukagua miradi ukoje?
Huo sio ukweli ila ni uchochezinchi nzima ilani inayotekerezwa ni ya ccm, na ndio waliounda serikali, hata huyo meya anatekereza ilani ya ccm kupitia halmashauri aliyopo. wakwenda kukagua utekerezaji ni ccm na si vinginevyo. huo ndo ukweli.
La le li lo lunchi nzima ilani inayotekerezwa ni ya ccm, na ndio waliounda serikali, hata huyo meya anatekereza ilani ya ccm kupitia halmashauri aliyopo. wakwenda kukagua utekerezaji ni ccm na si vinginevyo. huo ndo ukweli.
Utaongeleaje Subset?Mkuu kama kweli una nia njema, basi swali lako linapaswa kuwa "utaratibu wa kukagua miradi kwa viongozi wa vyama vya upinzani ukoje?"
Maana hatutarajii kwamba huo utaratibu unapaswa kufuatwa na viongozi wa upinzani peke yake.
Ukumbi wa Halmashauri unamilikiwa na mkuu wa Wilaya? huu ujinga wa kiwango cha makinikiaChadema haipo juu ya sheria na utaratibu
Hawezi kuingia bila taarifa kwenye ukumbi wa halmashauri wakiwa na sare za chama kisha kufanya vikao!
Walipaswa kufuata utaratibu
Pia Sumaye hana wakumtisha
Aache kutoa hizo kauli za kijinga
Mtu akitubu husamehewa,kama kaja upande wa pil na anapigania haki si vibaya,tumuunge mkono,maana chama si Baba eti hauwez kukikana endapo kinaenda tofaut au ukitambua hakitendei Wananch haki ulioiona ni haki yao,mkuu asilimia kubwa Mtu akiwa Ccm uelewa humtoka,na ni wachache wanaojitambua mfano ni Bashe na Deo Filikunjombe ambaye kwa sasa hatuko naye tena Dunian,Mungu amrehemu,fikra zake tunazikumbuka mpk leoSumaye huyu, "... ukitaka mambo yako yafanikiwe njoo CCM" - Naikumbuka kauli hii ya kifedhuri. Acha aumizwe, wametuumiza sana wakiwa upande ule.... simuonei huruma japo yuko upande wetu sasa. What goes around... hata watesi wetu wa sasa kuna muda watakuwa kama Sumaye... Historia ni mwalimu mzuri sana.
Ana kosa tena kosa kubwa sana maana utaratibu huu ulikuwepo enzi zile chama kimeshika hatamu ya uongozi lakini since 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoingia ukaja utaratibu mwingine wa namna serikali inavyofanya kazi ila CCM huwa wanajitoa ufahamu hasa hapa mwisho mwisho wa awamu ya nne na matokeo yake na wapinzani nao wakaona ni wakati muafaka kufanya yao lakini tofauti na matarijio yao serikali ikaingilia kati.Kwa hiyo polepole anapozunguka hakuna kosa jinga sana wewe
Swissme