Sumaye: Serikali itambue CHADEMA ipo kisheria, wasitake vurugu bila sababu

nchi nzima ilani inayotekerezwa ni ya ccm, na ndio waliounda serikali, hata huyo meya anatekereza ilani ya ccm kupitia halmashauri aliyopo. wakwenda kukagua utekerezaji ni ccm na si vinginevyo. huo ndo ukweli.
Kiongozi, kumbuka kuwa tunafuata mfumo wa vyama vingi, vyama vyote viko sawa mbele ya sharia.

Vv
 
Upumbavu ni kufanya mambo bila kuzingatia sheria ukategemea utaachwa eti kisa una kitambi!

Nimeuliza swali ...utaratibu wa kukagua miradi ukoje?
We unaujua? ukishapewa utaratibu utabadlisha kauli?
kwanza umeuliza swali kishankupe sana hakuna wa kumjibu mjaa mahaba kama wewe
waambie na wajinga wenzio ccm iliunda serkali kuu sio had serkali za mitaa
 
Utaratibu wa kutembelea miradi ukoje?

Sumaye atambue na kuheshimu mamlaka za nchi...!
Aheshim vip?,nyie mkitembelea ruksa ila Wapinzani nongwa!,hofu ndiyo imewajaa,Kinana anapotembelea na kushirik katika mirad yeye ni sawa?,ni akil ndogo tu inahitaj kulifahamu hil ila tatizo weng wenu hamjui kuhoj,kila kitu mnaunga mkono kama mlivyofanya Bungen kwenye mikataba mibovu,ni jambo jema kutafakar ukiambiwa hambo kabla ya kulishikia kibwebwe.
 
nchi nzima ilani inayotekerezwa ni ya ccm, na ndio waliounda serikali, hata huyo meya anatekereza ilani ya ccm kupitia halmashauri aliyopo. wakwenda kukagua utekerezaji ni ccm na si vinginevyo. huo ndo ukweli.
Mkuu si kweli usipotoshe, wanachofanya CCM kukagua shughuli za maendeleo ni kulazimish (hii ilikuwa sawa before mfumo wa vyama vingi), utaratibu upo wazi kabisa kwamba chama kikishinda uchaguzi ilani yake ndio inatekelezwa (kwa case yetu Tanzania ni ilani ya CCM) lakini kwenye ukaguzi wa maendeleo ni serikali kupitia viongozi waliochaguliwa na wananchi (madiwani na meya ...wabunge...mawaziri...makamu wa rais...na rais kwa utaratibu uliopo kulingana na aina ya mradi)..chama cha siasa kinapokea taarifa ya utekelezaji kwenye vikao vyao vya chama kwa kuwa tayari kimeunda serikali ambayo ndo mtekelezaji wa yale waliyokubaliana.

Na kwa level ya halmashauri / manispaa hivyohivyo hata kama ilani ni ya CCM lakini kama halmashauri ni ya chama kingine bado pale kwenye hiyo Manispaa kuna vipaumbele vya manispaa hiyo ambayo madiwani wamevipitisha hivyo wenye jukumu la kufuatilia ni wao wenyewe kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo
 
Hess anaebanwa si sumaye ni chadema chama kinazuwiwa kufuatili miradi walioiahidi kwa wananchi
 
Utaratibu wa kutembelea miradi ukoje?

Sumaye atambue na kuheshimu mamlaka za nchi...!
Unazijua kazi za mkuu wa wilaya ?
Chukua hii , Kazi kubwa ya DC wa Tanzania kutokea ccm ni kufungua makongamano ya ukimwi , kusimamia mbio za mwenge kwenye eneo lake na kuhakikisha usalama wa ccm ndani ya Wilaya yake .
 
Kweli Nyerere, Baba yetu mpendwa (raha ya milele u mpe Eee Bwana, apumzike kwa amani) alitulea kistaarabu sana na hatimaye watanzania tumekuwa wapole sana kiasi cha kupitiliza!
 
Unazijua kazi za mkuu wa wilaya ?
Chukua hii , Kazi kubwa ya DC wa Tanzania kutokea ccm ni kufungua makongamano ya ukimwi , kusimamia mbio za mwenge kwenye eneo lake na kuhakikisha usalama wa ccm ndani ya Wilaya yake .
Umezitoa wapi?Hebu muulize Sumaye atakuwa anazikumbuka
 
nchi nzima ilani inayotekerezwa ni ya ccm, na ndio waliounda serikali, hata huyo meya anatekereza ilani ya ccm kupitia halmashauri aliyopo. wakwenda kukagua utekerezaji ni ccm na si vinginevyo. huo ndo ukweli.

Ukweli ni kwamba RAIA tunahaki ya kutembelea maeneo tuliyowachagua wapinzani na kuhakiki utendaji wao.Kama hamtaki mjinyonge tu.Na huo ndiyo ukweli.
 
Chadema haipo juu ya sheria na utaratibu
Hawezi kuingia bila taarifa kwenye ukumbi wa halmashauri wakiwa na sare za chama kisha kufanya vikao!
Walipaswa kufuata utaratibu
Pia Sumaye hana wakumtisha
Aache kutoa hizo kauli za kijinga

Ukumbi wa HALMASHAURI mtu yeyote anaweza kuingia as long as havunji sheria za nchi.Tanzania yetu sote,hizo Kumbi zote zimejengwa kwa KODI za watanzania siyo wanaCCM.Acheni ujinga
 
Kila mtu afanye mkutano kwenye eneo lake aliloshinda sio kuzunguka nchi nzima sasahivi ni kufanya kazi na sio muda WA kufanya siasa na pia ilani inayotekelezwa ni ilani ya CCM maana ndio inayoiongoza serikali na ndio iliyoshinda uchaguzi na sio vinginevyo kikubwa tumuunge mkono mheshimiwa Rais katika jitihada za kuletea taifa maendeleo Huyo anayesema kutembelea maeneo walioshinda asipoteze muda inamaana hawawamini waliowaweka kwamba wanaweza kufanya kazi na kama ndo hivyo kuna haja ya wananchi kuwaondoa katika uchaguzi ujao waweke CCM maana ndio wanauhakika na dhamira ya dhati ya kuletea taiga hili maendeleo

Maendelea ya kufilisi TAIFA?Kwani Sumaye akipita kwenye miradi ya community anachukua kitu gani au anapunguza nini??Acheni ujinga,Tanzania yetu sote kama Kodi hata wanacha wa vyama vingine vya siasa wanalipa.
 
Back
Top Bottom