Sumaye na Lowassa hawakuwepo?

Nimemaanisha kuwa kwa kukiri kwao huna haja ya kuenelea kuwa laumu bali kuwafikisha mahakamani pale mashtaka yanapoonekana. Sasa wewe unachukua vipande vya magazeti na kuweka hapa jee ndivyo utatumia mahakamani? halafu kwa upumbavu wako unaita wenzako nyumbu bila kujua kuwa wewe ni zaidi ya hao nyumbu?
Maana yote uliyoonyesha hapo ni mihemko tuu, Lowassa kasha sema mara ngapi mumpeleke mahakamani nanyi mume mute? Hebu Mkapa au JK watangaze hadharani kuwa kinga yao iondolewe uone kama kesho yake tuu hawajatinga mahakamani! Kijana jichunge na kauli zako chafu.
Kwa jinsi bwana magu alivyo wa visasi hakika kama Lowassa angekuwa n.a. kesi ya kujibu leo hii angekuwa lupango

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom