Nimemaanisha kuwa kwa kukiri kwao huna haja ya kuenelea kuwa laumu bali kuwafikisha mahakamani pale mashtaka yanapoonekana. Sasa wewe unachukua vipande vya magazeti na kuweka hapa jee ndivyo utatumia mahakamani? halafu kwa upumbavu wako unaita wenzako nyumbu bila kujua kuwa wewe ni zaidi ya hao nyumbu?ACHA KUPOTOSHA ,SISI SIO NYUMBU KAMA UNAVYOFIKIRI, UNATAKA KUSEMA WALIJIONDOA KWA HAYA. LABDA NIKUKUMBUSHE WALIJIONDOA ILI KWA UROHO WA MADARAKA, WALIJIONDOA BAADA YA KUKATWA. NYUMBU WEWE UENITIA HASIRA ASUBUHI YOTE HII!!!!
Sasa kama haifuti uwepo wake, je, unakiri kuwa wanaohoji kwamba alikuwa wapi wana hoja? Je, kukaa kimya na kuchukua hatua miaka kadhaa baadaye, hauoni kama amechelewesha sana kutujulisha wananchi?Haifuti uwepo wake. Ila JPM Sasa anachukua Hatua.
NI WAKINA NANI WALITEMBEA NCHI NZIMA KUMNADI LOWASA KUWA NI FISADI? NA NIWAKINA NANI WALIMNADI KUWA MGOMBEA WAO 2015? UKIWEZA YAJIBU HAYA MASWALI UTATOKA KWENYE UNYUMBU. NAONA BORA UANGALIE HIZO VIDEO HAPO CHINI NAONA KIDOGO UBONGO WAKO UTAFUNGUKANimemaanisha kuwa kwa kukiri kwao huna haja ya kuenelea kuwa laumu bali kuwafikisha mahakamani pale mashtaka yanapoonekana. Sasa wewe unachukua vipande vya magazeti na kuweka hapa jee ndivyo utatumia mahakamani? halafu kwa upumbavu wako unaita wenzako nyumbu bila kujua kuwa wewe ni zaidi ya hao nyumbu?
Maana yote uliyoonyesha hapo ni mihemko tuu, Lowassa kasha sema mara ngapi mumpeleke mahakamani nanyi mume mute? Hebu Mkapa au JK watangaze hadharani kuwa kinga yao iondolewe uone kama kesho yake tuu hawajatinga mahakamani! Kijana jichunge na kauli zako chafu.
Wallahi, hawa makamanda wa chadema ni vigeugeu na wanafiki sana.NI WAKINA NANI WALITEMBEA NCHI NZIMA KUMNADI LOWASA KUWA NI FISADI? NA NIWAKINA NANI WALIMNADI KUWA MGOMBEA WAO 2015? UKIWEZA YAJIBU HAYA MASWALI UTATOKA KWENYE UNYUMBU. NAONA BORA UANGALIE HIZO VIDEO HAPO CHINI NAONA KIDOGO UBONGO WAKO UTAFUNGUKA
Hata kama angefahamu angefanya nini wakati hakua na mamlaka kipindi hicho hata kama alikua hapendi hayo mambo?.Pole sana! Ulitakiwa kujiuliza kwanini wanasema Magufuli alikuwepo na hatajwi mtu mwingine yeyote!!
Ukimsikia JPM akiongea mtu anaweza kudhani jamaa kadondoshwa kutoka sayari ya Mars ili kuja kuingoza Tanzania ambayo alikuwa haifahamu hata kidogo!!!
Hata mwananchi wa kawaida alikuwa anafahamu kwamba makampuni ya madini yanafanya wizi mkubwa sana! Hilo lipo wazi!
Lakini JPM ukimsikia anaongea utadhani haya mambo kayafahamu baada ya kuingia Ikulu wakati yupo serikalini kwa angalau miaka 20 sasa!!!!
MSasa kama haifuti uwepo wake, je, unakiri kuwa wanaohoji kwamba alikuwa wapi wana hoja? Je, kukaa kimya na kuchukua hatua miaka kadhaa baadaye, hauoni kama amechelewesha sana kutujulisha wananchi?
MSasa kama haifuti uwepo wake, je, unakiri kuwa wanaohoji kwamba alikuwa wapi wana hoja? Je, kukaa kimya na kuchukua hatua miaka kadhaa baadaye, hauoni kama amechelewesha sana kutujulisha wananchi?
Kwani wakati sheria ya madini na gas inapitushwa bungeni JOM alikuwa CHADEMA?? Maana sasa analalama tumeibiwa sana. Vipi ESCROW nae JPM alitolewa nje kama UKAWA?? Acha kujitoa ufahamuHistoria ni mwalimu mzuri, na kuna wakati ni vigumu kuikana.
Baada ya kusomwa taarifa mbili za Kamati za Makinikia pameibuka manabii na mashujaa wa nchi wakidai "..Rais Magufuli alikuwa wapi kipindi hicho chote" amekuwa Mbunge na Waziri kwa kipindi cha takribani miongo miwili na sasa Ndiye Rais. Kwanini hakuchukua hatua? Baadhi ya mashujaa hao walionukuliwa kirefu na vyombo vyetu vya habari ni Luwasa na Sumaye.
Najiuliza, kipindi hicho chote Sumaye na Lowasa walikuwa wapi? Je, hawakuwa Mawaziri na Je, hawakuwa wabunge? Bahati njema wote wawili wamepata kuwa Mawaziri wakuu huku Sumaye akihudumu kwa kipindi chote cha mpito huo na kuvunja rekodi ya kuwa Waziri Mkuu pekee tangu nchi hii ipate uhuru kuhudumu kwa miaka 10. Aliongoza kipindi cha mageuzi ya kiuchumi na ubinafsishaji wa migodi hii yote (1995-2005). Lowasa yeye amekuwapo kama Waziri Mkuu (2006-2008) lakini kabla ya hapo amekuwa Waziri kamili kwa zaidi ya miaka 20. Na amekuwa mbunge.
Wawili hawa mpaka kufikia Julai 2015 walikuwa wanachama watiifu wa CCM. Walikuwa sehemu ya yale majibu ya "Ndiooooooooo" kwa muda wote huo. Leo ushujaa wao ni upi?
Shukrani kwa Luwasa kung'amua kuwa mchakato mzima wa kufikia maamuzi ya kiserikali hauwezi kumwacha salama aliyekuwa Waziri mwenyedhamana (mtetezi mkuu wa hoja). Lakini pili, kwa dhana ya collective responsibility, hakuna namna yeyote aliyewahi kuwa Waziri au Mbunge kwa kipindi chote hicho (ukiondoa wale wa upinzani waliowahi kupinga) kukwepa wajibu.
Sumaye na Lowasa hawakuwepo?
Hata kama angefahamu angefanya nini wakati hakua na mamlaka kipindi hicho hata kama alikua hapendi hayo mambo?.
Je kuna ubaya gani sasa kufanya anayofanya ukizingatia kua sasa hivi ana mamlaka kamili tofauti na hapo awali?.
Je hujui kua kidole kimoja hakivunji chawa?
Je Kuna ubaya gani sasa hivi kumuunga mkono JPM kwakua anapigania yale ambayo mwanzoni yalipigiwa kelele na wapinzani lkn yakakosa msukumo kutokana na MKULU aliyekuwepo wakati huo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawan akili hao wamejaz matope kichwaniKwani wakati sheria ya madini na gas inapitushwa bungeni JOM alikuwa CHADEMA?? Maana sasa analalama tumeibiwa sana. Vipi ESCROW nae JPM alitolewa nje kama UKAWA?? Acha kujitoa ufahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio hoja ya msingi kuliko zote inayokwepwa kwa jina la "KINGA" tuwaache wazee wapumzike. Hapa ndipo anguko letu lilipo kiuchumi, kiuwajibikaji na kiutendaji.mawaziri na marais wote waliohusika washughulikiwe upesi kama kweli kuna nia ya dhati.
Ni mapema mno kuhitimisha hivyo.Tutamwona wa maana sana kama atawashughulikia hao waliokuwa na mamlaka wakati huo. Sidhani kama ataweza kufanya hivyo maana aliapa kuwalinda wakati wana mkabidhi yeye hayo mamlaka!
Ni kweli kabisa,tena hao ni makamanda uchwara.Wallahi, hawa makamanda wa chadema ni vigeugeu na wanafiki sana.
Kuliko wale waliosema Ndiyo... wanasema Ndiyooo watasema Ndiyooo... na mwisho wa siku wakimalizia na "woyeeee!"
Kamanda gani utakatalia mahakamani,kisa unaogopa usikutaneKuliko wale waliosema Ndiyo... wanasema Ndiyooo watasema Ndiyooo... na mwisho wa siku wakimalizia na "woyeeee!"