shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,396
WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.
Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.
Tusubiri
Kama ni kweli tatizo liko wapi? kama CCM ina wabunge zaidi ya 280 wa kuchaguliwa lakini MAGUFULI amekosa anayefaa kuongoza Wizara hadi akateua wabunge wa vitu maalum vipi kuhusu hilo?naona wameamua kupigilia msumari wa mwisho chadema, kwa mtaji huu wa Mr Zero chadema ndio itapotea kabisaaa. mnawachezea wananchi kwa faida yenu naona.
Kama ni kweli nazidi kuamini kuwa chadema ni chama cha kikanda. Chama cha kaskazini
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..
Lowasa mgombea urais- mkaskazini
Samaye katibu mkuu-mkaskazini
Mbowe mwenyekiti -mkaskazini
John Mrema mkurugenzi CDM- mkaskazini.
Mnyika -mkaskazini.
Mdee -mkaskazini.
Komu mhazini -mkaskazini.
wabunge wa viti maalum wote kutoka kaskazini.
CDM sikio la kufa.
nafikiri walikuwa na hamu ya kufa sasa watakufa kama TLP,NCCR,UMD ,UDP nk.