ndugu nimekuelewa vyema ulichomaanisha ila siyo vibaya kama ukirekebisha kidoooogo maneno uliyotumia. Mf. haraka badala ya halaka; meli badala ya meri; na haijang'oa badala ya ajag'oa.Halaka halaka kabla meri ajag'oa nanga
kikwete nini hiki ulichokifanya?kweli unakubaliana na haya unapiga kimya?nape na yy anasema waendelee kuhama??nyerere njoo hukuuuu!!!!uokoe chamaaa....sasa hiv hawa marais waliostaafu hawawezi okoa jahaz kwa sababu wana jazba na ubabe hivyo watakutana na new generation watajibiwa ipasavyo.....
ok poa!!!
naona wakaskazini wameamua kujitenga sasa.
ok poa!!!
naona wakaskazini wameamua kujitenga sasa.
Chadema ni chama kanda kaskazini hakuna ubishi
Namkumbuka kwa kuivunja halmashauri ya jiji la Dar na kuunda Tume ya Jiji ya Mzee Keenja ambayo ilifanya kazi ya kupigiwa mfano kwa kipindi ilichokuwa madarakani.Natamani aseme mafanikio aliyoipa nchi kwa kipindi cha miaka kumi akiwa PM kwanza, halafu aseme mchango wake katika chama halafu amalizie na msimamo/hatima wake ili tujue anayoyasema tuchanganye na zetu. . . . . .
Ulaya hakuna malaria!!!
na makomeoJamani CCM itabaki ya NAPE, KINANA Na NANI?