Sumaye kupoteza kumbukumbu


Kweli wewe hamnazo.

Mbona hizo sentensi hazikinzani na ni sawa kabisa.

Kwenu huko kuiba haramu au halali?

Hapo sasa!
 
Kweli wewe hamnazo.

Mbona hizo sentensi hazikinzani na ni sawa kabisa.

Kwenu huko kuiba haramu au halali?

Hapo sasa!

Ni kweli Dada yangu umeshindwa kuona tofauti ya hizo sentensi mbili,,,,,
 
Akili zingekuwa zinaonekana physical kuna watu vichwa vyao vingelia kama debe tupu. Eti wahisani hawatoi michango wanatoa misaada kwa hivyo msaada hauwezi kuwa mchango au kwa vile ni msaada uliwe tu.
Acheni mihemko ya kishabiki mnatia aibu.
 
Msamehe tu Sumaye, wananchi wengi hawakukosea kusema ni Mr. Zero
 

Pesa imeharibu ubongo wake. Nashangaa Sasa hata harufu ya choo haimsumbui.
 
Kweli wewe hamnazo.

Mbona hizo sentensi hazikinzani na ni sawa kabisa.

Kwenu huko kuiba haramu au halali?

Hapo sasa!

Hivi huko shuleni mlienda kufundishwa ujinga?
 
Nasikia tarehe za mwanzo mwanzo huwa anakuwaga vibaya huyu makofuli:crying:
 
Waulize! Hao waliomwita Lowassa "fisadi" leo wanasema malaika kwa kuwa kawanunua.

Kumbe na wewe ni mchagga!

Hapana, mimi ni mmasai.

Mwaka huu tunamchagua morani mwenzetu. Liwalo na liwe.
 
Mr. Zero. Nilicheka sana niliposoma kwenye gazeti eti naye anajilinganisha na Che Guevara! Sijui kama anajua hata mwanamapinduzi Che alifanya nini mpaka akaishia kuuawa katika mistu ya Bolivia. Madaraka matamu!
 
Hapana, mimi ni mmasai.

Mwaka huu tunamchagua morani mwenzetu. Liwalo na liwe.

Mchagueni, na Watanzania tulio wengi tunajioelewa na tusionunulika tunamchaguwa Magufuli.

Kumbuka hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…