FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Mkuu huu msumali umeupigilia kwa hasira sana pls unatuumiza.
= msumari
Mkuu huu msumali umeupigilia kwa hasira sana pls unatuumiza.
mshenzi mkubwa unamjua unajibizana nae? Akiri yako mbovu haijai hata kwenye kijiko kidogo cha sukari
Nikiwa rais michango na ada zote kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari zitafutwa..... Makofuli
Nikiwa rais ntawashughulikia wote wanaokula hela za michango mashuleni...... Makofuli.
Bora nani..... anayesahau ambaye hagombei chochote au anayesahau afu anataka kuwa Rais wetu???
Ananitaka ilhali anajua mi sibandui mashoga.
Kweli wewe hamnazo.
Mbona hizo sentensi hazikinzani na ni sawa kabisa.
Kwenu huko kuiba haramu au halali?
Hapo sasa!
Ni kweli Dada yangu umeshindwa kuona tofauti ya hizo sentensi mbili,,,,,
Sumaye Fredrick amezidi kudhihirisha kuwa ni mtu anbaye kaanza kupoteza kumbukumbu kutokana na kusahau kauli zake anazotoa kila siku.
Sumaye alisema sifa za mtu kuwa rais kwanza ajipime mwenyewe kama anatosha, afya yake pamoja na ufisadi.
Lakini huyohuyo baadae akapoteza kumbukumbu na kusema tuchague hata kama ni fisadi au afya mgogoro.
Kweli wewe hamnazo.
Mbona hizo sentensi hazikinzani na ni sawa kabisa.
Kwenu huko kuiba haramu au halali?
Hapo sasa!
Nasikia tarehe za mwanzo mwanzo huwa anakuwaga vibaya huyu makofuli:crying:Nikiwa rais michango na ada zote kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari zitafutwa..... Makofuli
Nikiwa rais ntawashughulikia wote wanaokula hela za michango mashuleni...... Makofuli.
Bora nani..... anayesahau ambaye hagombei chochote au anayesahau afu anataka kuwa Rais wetu???
Hivi huko shuleni mlienda kufundishwa ujinga?
Ananitaka ilhali anajua mi sibandui mashoga.
Waulize! Hao waliomwita Lowassa "fisadi" leo wanasema malaika kwa kuwa kawanunua.
Kumbe na wewe ni mchagga!
Hapana, mimi ni mmasai.
Mwaka huu tunamchagua morani mwenzetu. Liwalo na liwe.