Lowassa anapata nguvu kwa sbabau ya M/kiti dhaifu...hana kingine, ingekua m/kiti ni mkapa au malecela huyu Lowassa angekua ni footnote kwenye siasa hizi za mwaka 2012. Walichoiba wote kinamsuta sana JK na hataki kumgusa kabisa huyu EL pamoja na kua ameihold CCM Kwa Ransom. (bila urais, tunashindwa wote au tunaua kabisa chama ....sasa sijui akina Mbowe na Slaa anawaona ni salama zaidi ya wezi wenzake ndani ya CCM au ni roho mbaya tu na visasi vya kike)