SUMAYE: Je Anafaa Kuwa RAIS?

AAAgh hafai hata kwa dawa, tunahitaji watu wengine na si hawa waliokwisha tuibia
 
Huyu shosti si ndiye aliyejikopesha kutoka kwenye fuko la wastafu milioni hamsini, wakati huohuo wastaafu wanapigwa danadana kupata haki yao.
Shame on him
 
hivi yule Waziri Mkuu Mstaafu aliyekuwa na kakashfa ka chinichini ka kula "TGIO" ya mwanasaiasa wa Upinzani alikuwa ni nani?
 
Back
Top Bottom