Sumaye hapa na wewe umewadharau wana ukonga na watanzania na umeonyesha kuwa na wewe yamkini ni fisadi

Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye, amesema Mwita Waitara aliyehama Chadema na kuhamia CCM, amewadharau wana Ukonga.

Sumaye ameyasema hayo leo Agosti 25 katika uzinduzi wa kampeni za Chadema, jimbo la Ukonga.

Asia Msangi, ndiye mgombea ubunge jimbo hilo kupitia Chadema katika uchaguzi utakaofanyika Septemba 16.

“Waitara alikuwa mbunge, leo anazungumza habari za Mbowe. Mbowe ndiyo alimchagua kuwa mbunge? Waitara amewadharau sana, amewadharau wana Ukonga kupita kiasi,” amesema.

“Kwanini mtu afanye madharau ya namna hii na sisi tutake kumfikiria? Haya machama yanayojidai yameleta uhuru yana kiburi hujawahi kuona,” ameongeza

Sumaye ambaye ni mjumbe wa Kamati kuu Ya chama hicho, amesema nchi zote zenye maendeleo ni zile ambazo zimeondoa vyama kongwe.

Kadhalika amesema iwapo nchi haina demokrasia ya kweli ya vyama vingi basi taifa litakuwa na wanyonge, na maskini.

“Sisi wengine tumetoka CCM kule ndio kulikuwa na makulaji, kila kitu kipo safi lakini nikasema raha yangu iko wapi kama watanzania wanateseka. Lazima maslahi ya umma yawe mbele kuliko maslahi binafsi,” amesema.

Unasema ndani ya CCM kulikuwa na makulaji na mambo ni safi: unasahau kuwa umekaa maisha yako yote CCM mpaka pale chadema walipokufuata ili likitokea lolote kwa Lowasa we we ndiwe uwe substitute??

Umesahau kuwa ulishiriki ulaji humo CCM ukiwa waziri Mkuu na wala hukuuzuia??(kama kweli ulikuwepo)

Kama ulikuwa unawajali watanzania kwa nini hukukuimbia chama kipindi kile ukiwa acting prime minister na siyo waziri Mkuu mstafu?
Na mpaka sasa unaponda mshahara Wa waziri Mkuu mstaafu sasa .mbona wanaukonga hujawakatia hats kidogo kama kweli unawajali!;

Nashauri uwe unachagua maneno ya kusema Mzee!! Utajiharibia buree!!
Mshahara wa uwaziri mkuu ni wake na halali, zikowapi tr. 1.5 ccm ziwekeni mezani tuzione, mbona siku hizi ofisini hamlii njaa?
 
Embu Futa huu uchafu wako, Fool!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom