Sumaye: Hamia CCJ!

unafahamu ya kuwa hipo siku watu watashituka tuu asubuhi wanapewa habari kubwa za mageuzi ya kisiasa ,tambua ufaransa na nchi nyingi za kidemokrasia watu walipitia katika kipindi kigumu sana cha manyanyaso, wananchi wa mashambani tunaomba uvumilivu tuu mtapata wakombozi kwa njia yeyote mda si mrefu,

MABADLIIKO YANALETWA HAYATOKEI TUU
 
Ahamie CCJ ili iweje? Hawa wote si ndio wale wale. Sumaye endelea kukaa CCM CCJ hawakuhitaji kuna watu wanaoipenda Tz. sio viongozi wa CCM waliojaa ufisadi kila pembe.
 
Mh Former PM...Tunakuomba uamie CCJ ili tukusimamishe uwe mgombea Urais....

Acha kuropoka! Sumaye ni mchafu kiasi cha kutisha, anastahili kukaa huko CCM. Yaani nchi iwe na rais mbumbumbu kama Sumaye? We can't afford to have mbumbumbus mfululizo.....Acha ulevi huo.
 
Acha kuropoka! Sumaye ni mchafu kiasi cha kutisha, anastahili kukaa huko CCM. Yaani nchi iwe na rais mbumbumbu kama Sumaye? We can't afford to have mbumbumbus mfululizo.....Acha ulevi huo.
TzPride, tafadhali umenistua, hivi Sumaye naye ni kariba ya Mkapa na Yona, hivi ni kariba ya Lowassa.....tunajua namna Mkapa ,Yona na Lowassa walivyohusika kulawiti ustawi wa taifa hili....je unaweza kuja na uthibitisho wa namna Sumaye alivyoshoriki kutuibia walalahoi wa Taifa hili .
 
picha litakuwa tamu pale Mkapa atakapoitisha press conference na kutangaza kuhamia CCJ
 
picha litakuwa tamu pale Mkapa atakapoitisha press conference na kutangaza kuhamia CCJ
waacha Mkapa hafungamani na wapinga ufisadi, tetesi za ndani zinadai CheMkapa aliipenyeza hoja ya kuwafunza adabu makamanda wa ufisadi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu......Mzee Kimaro anajua, mama Malecela anajua.
 
TzPride, tafadhali umenistua, hivi Sumaye naye ni kariba ya Mkapa na Yona, hivi ni kariba ya Lowassa.....tunajua namna Mkapa ,Yona na Lowassa walivyohusika kulawiti ustawi wa taifa hili....je unaweza kuja na uthibitisho wa namna Sumaye alivyoshoriki kutuibia walalahoi wa Taifa hili .

Nenda Mvomero, uliza wananchi watakuambia jamaa alivyokwapua ardhi yao kifisadi na kibabe. Uliza NSSF, jamaa alivyokwapua mahela hapo wakati yeye si mwanachama, nk
Kwanza hana akili, kwenda CCJ ni kujaza nzi tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom