Mgombea wenu mwenyewe analaumu na kushangaa sasa hapo cha ajabu nini? semeni tu hamjui nchi inaendeshwaje mnambwelambwela tuuuu
Eti amehamia upinzani kwa kuwa hawana safu yenye uzoefu na makini kiuongozi,huyo ndio Sumaye katika ubora wake.Hivi ana jambo gani la kujivunia alilofanya kwenye uongozi wake katika nchi hii kushawishi hadhira kuwa ni kiongozi bora.For me he is a bogus one.
Kusaidia ukombozi ni kujidhalilisha? mwacheni Sumaye awapiganie wanyonge .Binafsi nampongeza sana kw kujitenga na wanafiki.
Kama siyo Ukatuni wa CCM na Mkapa ilikuwaje awe PM muda wote huo.
wewe unadhani Sumayi ni mpuuzi kama wewe mleta mada,awe ndani ya ccm asiwe baada ya uchaguzi,still anapata pension zake kama waziri mkuu mstaafu haijalishi yupo wapi,maisha yake yanaendelea,wewe usie jitambua ndo unamatatizo.
Amejitambua na kuamua kutoka kwenye chama cha majizi
Kwa kweli nimekuwa najiuliza alikuwaje pm kwa miaka 10? ni MNAFIKI, MBEYA, na MUONGO.
Eti pale kawe akasema eti sisiemu WALITUAHIDI maisha bora ila mpaka sasa bado, kweli? hii kitu ni ya yeye kusema hivyo? NIMEMDHARAU sana huyu babu. Yeye kawa pm wa sisiemu juzi juzi tu kwa miaka 10, leo anaongea pumba!
Sumaye kwa sasa anawaza kuwakomboa watanzania na sio kulikomboa tumbo lake tatizo maccm mnawaza mavikuchu yenu tu yajae..ya wananchi wala hamna mda nayo!Kwani yeye Sumaye anawaza tumbo la nani sasa? alisema ccm ikimpitisha fisadi lowasa kuwa mgombea atahama chama! sasa kamfuata huko huko baada ya kununuliwa tena kwa bei ndogo inayomdhalilisha kabisa na yeye ndio amepewa kibarua cha kumsafisha huyo aliyemchafua kwa kumuita fisadi. Lowasa anawachezea akili sana watu wenye njaa kali.
Mimi huwa simuelewi anayoyaongea ,mfano akieleza kuwa ccm haijawafanyia kitu wananchi basi miongon wa kuwalaumu ni yeye kwakuwa alikuwa miongoni mwao tena PM ,ndio maana kiongozi mmoja mstaafu akaamua kuwaita malofa, neno halikuwahusu wana chadema wote ,sasa nawao wameamua kujiita hivyo,
Huku na yy akijua ni mr.zero
na pia anataka tena awe kiongozi maana maneno yke mwenyewe kasema ukahawa hawana uzoefu..yy ameenda kutumia uzoefu wake ambao unajulikana kwa ubazilifu na unyonyaji..
Hakuna jitu jinga duniani kama Sumaye, ngoja baada ya oct 25 atakula mavi yake.
Zaidi ya 80% viti maalumu CDM vimepatikana kidugu,kujuana,k'uchumba,k'ch'g'.Halafu mnazungunzia mifumo,kama si uendawazimu kitu gani?
Wewe je una akili kwa kudanganywa miaka 53 na bado hauja shituka?
tatizo unajua Tanzania tu ndiyo shida hiyo.
Wewe je una akili kwa kudanganywa miaka 53 na bado hauja shituka?
tatizo unajua Tanzania tu ndiyo shida hiyo.
Kenda kuungana na wezi wenzie. Hayo ndo yaliitwa magamba sasa yamevuka na ccm imebaki safiii. ccm oyeeeeeeeeeeeee!
Sumaye kwa sasa anawaza kuwakomboa watanzania na sio kulikomboa tumbo lake tatizo maccm mnawaza mavikuchu yenu tu yajae..ya wananchi wala hamna mda nayo!
Sio amejidhalilisha tu - ni mmoja wa watu waliotupotezea miaka kumi yetu Watanzania. Magufuli akiingia madarakani asiwaache watu kama hawa. Kumbe walivyokuwa madarakani walijua kabisa hakuna wanachokifanya (kama anavyohubiri yeye mwenyewe) - ila waling'ang'ania tu kubebwa na mabenzi na kuchukua mishahara ambayo sisi tunailipia kodi - wakati hakuna wanacho deliver kwa ajili ya Watanzania.