Sumaye Fredrick asisahau haya wakati wa utawala wake

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Sumaye asisahau alishaondoka Tanzania akaenda Marekani kujificha, ikawa inaripotiwa alikwenda kusoma, wakati alikuwa akituhumiwa juu ya ufisadi wa matrilion, Sumaye aliikana hotel ya Mount Meru aliyojimilikisha wakati akiwa waziri mkuu.

Sumaye aliua NAFCO, sumaye alichangia kumfilisi SAWAYA wa Moshi!

Leo hii anajipenyeza penyeza tu na kuongelea ufisadi wakati matrilion kayaficha huko.

Yalete na wewe utoe kwa wanajamii kama ni ya halali wala hakuna atayekuuliza.
 
Keshasahau si alisema alienda chukua diploma au degree kie kie kie kie
 
Sumaye asisahau alishaondoka Tanzania akaenda Marekani kujificha, ikawa inaripotiwa alikwenda kusoma, wakati alikuwa akituhumiwa juu ya ufisadi wa matrilion, Sumaye aliikana hotel ya Mount Meru aliyojimilikisha wakati akiwa waziri mkuu.

Sumaye aliua NAFCO, sumaye alichangia kumfilisi SAWAYA wa Moshi!

Leo hii anajipenyeza penyeza tu na kuongelea ufisadi wakati matrilion kayaficha huko.

Yalete na wewe utoe kwa wanajamii kama ni ya halali wala hakuna atayekuuliza.

kama hujui uliza.no kweli alikuwa chuo
 
Ushahidi pls! or endeleeni kuchafuana kwani tulishawazoea tangu 2005
 
Haha!
Nishasema nasubiri Mtikila apone maana yeye ndiye alikuwa Kinara wa Kupambana na Sumaye waziwazi wakati hule.
 
Uko sawa mkuu japo nahisi wewe ni gamba tu. Sasa kama ambavyo ccm mmeendelea kulumbana, hebu kwa mtindo kama huo ulomfanyia sumaye mtathmini mwana ccm yeyote kama hutayakuta hayo! The thing is kwa mwendo huo huko ccm hakuna mwenye moral authority kumnyoshea au kumshambulia mwingine na ndio maana hamuwajibishani. Wana jf hebu naomba sasa yeyote anaemtambua mwanaccm safi ndani ya chama hicho ccm amuweke hapa tumtathmini...................... Hakuna kitu!!!!

sumaye asisahau alishaondoka tanzania akaenda marekani kujificha, ikawa inaripotiwa alikwenda kusoma, wakati alikuwa akituhumiwa juu ya ufisadi wa matrilion, sumaye aliikana hotel ya mount meru aliyojimilikisha wakati akiwa waziri mkuu.

Sumaye aliua nafco, sumaye alichangia kumfilisi sawaya wa moshi!

Leo hii anajipenyeza penyeza tu na kuongelea ufisadi wakati matrilion kayaficha huko.

Yalete na wewe utoe kwa wanajamii kama ni ya halali wala hakuna atayekuuliza.
 
Big zero kuacha nyerere magamba atahistoria inawaumbua hawa watu wamechoka ni wakupumzika
 
sasa mmeamua kuchafuana wenyewe kwa wenyewe, baada ya lowassa ni sumaye, mkitoka kwa sumaye sijui nani atafuata, ama kweli kaskazini haitatoa rais 2015
 
sumaye asisahau alishaondoka tanzania akaenda marekani kujificha, ikawa inaripotiwa alikwenda kusoma, wakati alikuwa akituhumiwa juu ya ufisadi wa matrilion, sumaye aliikana hotel ya mount meru aliyojimilikisha wakati akiwa waziri mkuu.

Sumaye aliua nafco, sumaye alichangia kumfilisi sawaya wa moshi!

Leo hii anajipenyeza penyeza tu na kuongelea ufisadi wakati matrilion kayaficha huko.

Yalete na wewe utoe kwa wanajamii kama ni ya halali wala hakuna atayekuuliza.

sumaye ni rejected region katika siasa za tanzania, kiujumla sumaye hakubaliki hata kidogo!
 
kama hujui uliza.no kweli alikuwa chuo

nakumbuka mwaka fulani kulikuwa na mkutano wa Sulvan pale AICC Arusha waandishi wa habari walimwuliza hilo swali juu ya matrilioni, hakulijibu. Kidogo akatoweka tena, hadi issue ilipopoa akajileta. Hebu waandishi wa habari wakamwulize tena swali hilo.

Sumaye nasikia zamani alisoma chuo fulani pale arusha na inadaiwa alisoma na raisi wa sasa wa DRC, na kutunukiwa Advanced diploma. Je hiyo aliyoenda kuisomea huko tena chini ya mwaka mmoja ni dip ya dizain gani? Kuwa wazi mkuu.
 
Sumaye asisahau alishaondoka Tanzania akaenda Marekani kujificha, ikawa inaripotiwa alikwenda kusoma, wakati alikuwa akituhumiwa juu ya ufisadi wa matrilion, Sumaye aliikana hotel ya Mount Meru aliyojimilikisha wakati akiwa waziri mkuu.

Sumaye aliua NAFCO, sumaye alichangia kumfilisi SAWAYA wa Moshi!

Leo hii anajipenyeza penyeza tu na kuongelea ufisadi wakati matrilion kayaficha huko.

Yalete na wewe utoe kwa wanajamii kama ni ya halali wala hakuna atayekuuliza.

unaijua trilioni au unaisikia?
 
unaijua trilioni au unaisikia?

1,000,000,000,000
au kama zile PSPF inaidai serikali mara 6. Wakati ule uhuru wa habari haukuwepo' was ver possible to make trilion' hata kama ilikuwa bilion ya wakati huo kwa sasa ni trilion.
 
Sumaye asisahau alishaondoka Tanzania akaenda Marekani kujificha, ikawa inaripotiwa alikwenda kusoma, wakati alikuwa akituhumiwa juu ya ufisadi wa matrilion, Sumaye aliikana hotel ya Mount Meru aliyojimilikisha wakati akiwa waziri mkuu.

Sumaye aliua NAFCO, sumaye alichangia kumfilisi SAWAYA wa Moshi!

Leo hii anajipenyeza penyeza tu na kuongelea ufisadi wakati matrilion kayaficha huko.

Yalete na wewe utoe kwa wanajamii kama ni ya halali wala hakuna atayekuuliza.

Sumaye na LOWASSA wote hovyo.
 
He is just one of the robbers of this country.He is one of the land lords in this country.
 
Sumaye na LOWASSA wote hovyo.

usimtaje kabisa EL huku labda kama ni mwingine. Kile kibabu chenu cha CCBRT kinakula hadi mishahara ya watumishi inayotolewa na serikali ambacho kimeshindwa hata kujenga kwake ndo chaweza kulinganishwa na sumaye. Kile kilichoasi upadre'
 
Sumaye alikuwa ni dictator,alikuwa anajifanya mkali ,asikilizi watu,anapokea majungu na hayafanyii utafiti,kafukuza watu kibao kazi serikalini wasio na hatia,mfano maofisa wa Polisi 05 Sumbawanga mwaka 1999,ni bora mara mia Lowasa awe Raisi kuliko huyu Sumaye.
 
Aisee!!!. Hadi kufikia 2015 Watanzania watakuwa wameona rangi zote. Kuna kitu nakiona, licha ya mfumo wetu kama nchi kunawafanya viongozi wetu kujifanyia mambo watakavyo mnyukano huu wa sasa liwe fundisho kwa wale wenye mipango ya kuiongoza nchi kuanza kuishi kwa uadilifu kuanzia sasa, la sivyo watavuliwa nguo sana mbele ya safari. Makombora haya na mengine yatakayorushwa bila kuangalia sura ya mtu yanadhihirisha hilo. Na bado.
 
Ujinga mtupu, siasa za majitaka na uchumia tumbo. Hyo bwana wenu atawalamba hadi jicho.
 
Back
Top Bottom