Sumaye: CCM kaa chonjo

Sumaye ana kipi kipya..? Alwahi kuwa waziri mkuu! Msitegemee jipya toka kwake
 
Good to be non-partisan and emancipated maana mambo mengine ni kama vichekesho tu......
 

Mimi nilikuwa nadhani vinginevyo, kumbe unamaanisha vijembe!!??
 


Ndugu,

Lazima uelewe kuwa Uwaziri Mkuu ni cheo cha kiserikali. Sumaye mbali ya kuwa mjumbe wa NEC na CC hakuwahi kuwa na wadhifa wowote ule ndani ya CCM. Sasa kwa kugombea uongozi wa kanda CDM ndio anaanza harakati za siasa za chama kama kiongozi na kuwa karibu zaidi ya wanachama wenzie.

Nasikitika sana mpaka leo bado Watanzania wengi tunashindwa kutofautisha kati ya chama na serikali kama vile bado ni 1991.
 
Sumaye ana kipi kipya..? Alwahi kuwa waziri mkuu! Msitegemee jipya toka kwake

Wewe unadhani ni nani aweza kuwa na jipya? Kikwete? Magufuli?.....Au wewe ndiye usiye na jipya la kuandika?
 
Ki

. Katika siasa hilo si jambo geni! Kama mna kumbukumbu nzuri Comrade Mangula baada ya kutemwa ukatibu mkuu wa CCM na Jk mbona alikwenda kugombea nafasi ya m/kiti wa mkoa Iringa na akagaragazwa na mafisadi! Kwangu sioni cha ajabu kwa wanasiasa wetu.
 
Asante sana.You nailed it
 
Lizaboni , unatafutwa na LUHWAVI baada ya porojo zako kuhusu yeye........
 
Angekuwa sio mwiba wasinge mzungumzia kwenye mkutano mkubwa kama ule mbona wewe hukutajwa
 
Sasa hivo vijembe ndo nini kutoka kwa mheshimiwa
 
Nilifikiri ukiwa wa kimataifa unaacha kuzungumzia mambo ya mchangani. Kunani mpaka mkutano mkuu uzungumzie watu wa mchangani? Mnge wakaushia ningejua hawawatii kiwewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…