Sumaye: CCM kaa chonjo

Kama alishidwa hapa.
It won't happen on his lifetime NEVER. .


By the way tunaomba kwanza feedback za CCJ.
Otherwise wahenga wanasema " Ukisha ujua mwanzo Mwisho haukusumbui"

Isitoshe wajanja tumeshaanza kuwahi seat za mbele.

 
Sisi yetu macho kusubiri KUONA LEAGUE YA SUMAYE NA LOWASSA KUTAFTA NAFASI YA URAIS NDANI YA CHADEMA....ni suala la MUDA TU.....CCM inaenda hatua mpya na za maana wao wanarudi kula matapishi......MTASUBIRI SANA KUITOA CCM MADARAKANI
 
Hana lolote huyo
Alikuwa waziri mkuu
Anaenda Kugomb uenyekiti chama wilayani hahaha
 
Anajilazimisha umaarufu aliyemtaja dodoma leo ni nani?
 
Kumbe Kamati Kuu imefanyika? Ndo kwanza nasikia hapa
lizaboni ivi kwa unafiki wako unalipwa sh. ngapi na ccm kwamana mara nyingi nakuona unajifanya unaijua sana ccm wakati umezaliwa ccm umeikuta.
 
akae ajiulize anaye toka kuwa waziri mkuu hadi mwenyekiti wa kitongoji nani kafilisika??
 
Kwa hiyo Sumaye kamzidi lowasa kutajwa tajwa kwenye mkutano wa CCM??

Unataka kusema nini msemaji wa Chadema ya angani?
 
Sumaye na lowassa ndio ajenda ya ccm.Wananchi tumekataa tamaa viwanda hamna lowassa ndio ajenda
 
Hivi ni Sumaye huyu huyu anayegombea uenyekiti wa chadema wa wilaya huko Kibaha aliyewahi kuwaambia wafanyabiashara wakitaka kufanikiwa kwenye biashara zao wajiunge na CCM au yule alikuwa mdogo wake?
 
Ni kawaida ya manguberi ya pwani kama wewe kupiga vijembe
 
Maccm yamepagawa hayajui kama Sumaye hawako nae tena.
 
Alitoka ccm,akatua nccr kuingia chadema faster kala ujumbe,imekuwa kama sadaka!!
 
2020 ndio itakuwa mwisho wa ccm.Sumaye na lowassa kazeni buti
 
huenda sumaye yuko sahihi. lakini watashinda kwa tume ipi? hii ya kusimamiwa na wakurugenzi wa JPM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…