Sumaye awasambaratisha UKAWA mchana kweupe

Sumaye awasambaratisha UKAWA mchana kweupe

SUMAYE AWAJIBU UKAWA KUHUSU UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI……..

Hivi UKAWA wanaotaka kujua kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa nini wasimuulize mwenzao Sumaye?

Mbona yeye anajua kila kitu kuhusu uuzwaji huo maana yeye ndo alikuwa bosi wa Magufuli kama waziri mkuu kipindi hizo nyumba zinauzwa…..

EEEH mnamuuliza Magufuli kashfa ya Nyumba za serikali wakati waziri mkuu aliesimamia uuswazi wa nyumba hizo ni mwanachama wenu….​

Hapa shughuli pevu kura siri ya mtu
 
Last edited by a moderator:
10592845_1476076819386469_8595139461821375580_n.jpg

naona hamtaji tena "ccm"kwenye matangazo yenu,why?ahahaha
 
mkuu hoja ya uuzwaji wa nyumba za serikali imekufa.. na DR MAGHUFULI HANA HATIA
 
Kweli ukawa wana kazi,hoja ya nyumba za serikali iliyokuwa mtaji wao dhidi ya Dr. Magufuli,imejifia kifo cha mende,nadhani sasa wanahangaika kutafuta kashfa dhidi ya Dr.Magufuli.Wameyataka wenyewe kumchukua mtu mwenye makashfa lundo
 
SUMAYE AWAJIBU UKAWA KUHUSU UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI……..

Hivi UKAWA wanaotaka kujua kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa nini wasimuulize mwenzao Sumaye?

Mbona yeye anajua kila kitu kuhusu uuzwaji huo maana yeye ndo alikuwa bosi wa Magufuli kama waziri mkuu kipindi hizo nyumba zinauzwa…..

EEEH mnamuuliza Magufuli kashfa ya Nyumba za serikali wakati waziri mkuu aliesimamia uuswazi wa nyumba hizo ni mwanachama wenu….​

Acha kudanganya watu wewe,huo ubadhilifu wa UUZAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI ULIMKUTA MAGUFULI NA SIO KUWA ILITUNGWA ILA NI REPORT YA C.A.G NDO ILIDHIBITISHA HILO,SASA TUMUULIZE SUMAYE ILI IWAJE???...TUSEME HAMUMUAMINI MWANASHERIA WENU MKUU WA SERIKALI???
 
Last edited by a moderator:
sumaye awajibu ukawa kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali……..

hivi ukawa wanaotaka kujua kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa nini wasimuulize mwenzao sumaye?

mbona yeye anajua kila kitu kuhusu uuzwaji huo maana yeye ndo alikuwa bosi wa magufuli kama waziri mkuu kipindi hizo nyumba zinauzwa…..

eeeh mnamuuliza magufuli kashfa ya nyumba za serikali wakati waziri mkuu aliesimamia uuswazi wa nyumba hizo ni mwanachama wenu….​

very sad...huyo mgombea wenu hauziki kabisa naona mmechezea pesa nyingi kumnadi tukianza na "mabango ya barabarani","makaratasi ya mitaani","cd za magufuli mmezitengeneza kibao zinatupwa tuu huku mitaani","mumemtangaza jf","nimeona mnamtangaza kwenye television zote ikiwemo itv,na channel zenu za star-tv na tbc" halafu yote hayo mlofanya hayana madhara kabisa kwa ukawa,ona ukawa wameweka bango moja tu pale k/koo sokoni shuguli zote zilisimama kwa shangwe na ile ilikuwa ni picha tu ya lowassa hadi mkatuma watu wenu kuja kulitoa bango la ukawa saa.8 usiku,yani mmekwisha nyie hamna pakukimbilia!
 
Last edited by a moderator:
sio kulipwa muasisi wenu alishasema mpinzan wa kweli atatoka ndani ya ssm we unasubiri nini kuamini
hujakosea mkuu.. mpinzani wa kweli atatoka ccm humo humo kama alivofanya lowasa. Lakin hakusema huyo mpinzani ndo atashinda.. ataendelea kuwa mpinzani wa kweli.
 
hujakosea mkuu.. mpinzani wa kweli atatoka ccm humo humo kama alivofanya lowasa. Lakin hakusema huyo mpinzani ndo atashinda.. ataendelea kuwa mpinzani wa kweli.

ni sawa kabisa ila point yako ya mwisho itajirihidhisha tar 25oct kua alisema atabaki kua mpinzani wa kwel au ataingia magogoni
 
Nilivyosema ni kwamba hizi habari zimenifikia four days ago. Kwamba kule Dodoma Kamati ya Usalama iliwachagua Augustine Mahiga,Augustine Ramadhani,Asha Rose,Mizengo Pinda na Makongoro wakapigiwe kura na Mkutano Mkuu. Halafu Mwenyekiti wa CCM,akayapuuzia yale majina. Akabakiza jina moja tu la Asha Rose,labda kwa vile huyu ni Waziri wa Sheria,kumuondoa ingekuwa very tricky. Jakaya Kikwete akaja na listi mpya. Kama hivi ndivyo ilivyotokea Dodoma,kwa nini hizi habari tunazipata barabarani,kwa nini haziandikwi katika gazeti? Kwa hiyo Mwenyekiti amefanya udikteta ambao ni fantastic,kuwapuuzia washauri ambao amewachagua mwenyewe,handpicked by him,Katiba ya aina gani,mahali popote duniani inaweza kuruhusu jambo kama hili,kwamba kiongozi afanye kazi bila ushauri?

Out of context
 
Siasa za ulaghai za hawa makapi ya CCM haziwezi kuiokoa nchi hii.Magufuli ni bora kwa sababu ya kusimamia ukweli,nchi inahitaji watu wafanye kazi na kuwa na uongozi bora usio na mawaa.Lowassa asiyeweza kuzungumzia rushwa hawezi kutuokoa kwa sababu hajui tatizo linalotukwamisha ni nini
Lakini wao wanadhani kusema uongo ni sifa.
 
Hivi UKAWA wanaotaka kujua kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa nini wasimuulize mwenzao Sumaye?

Mbona yeye anajua kila kitu kuhusu uuzwaji huo maana yeye ndo alikuwa bosi wa Magufuli kama waziri mkuu kipindi hizo nyumba zinauzwa…..

EEEH mnamuuliza Magufuli kashfa ya Nyumba za serikali wakati waziri mkuu aliesimamia uuswazi wa nyumba hizo ni mwanachama wenu….

Kama hali yenyewe ndo hii, na ukizingatia wenye ukawa ya kweli wako nje, sijui kama kunahaja ya kuweka rehan tz yetu. Tuvute kwanza pumzi then tutafute nini hasa hawa jamaa wanatuaminisha
 
Last edited by a moderator:
Ukifuata maneno matamu ya ccm utapotea,hao ni waongeaji wazuri lakini vitendo ni sifuri kabisaaaaaa!
Dawa yao ni kuwaweka bench kwa muda wapate akili kama ni kurudi madarakani ni baada ya kuonja joto ya jiwe.
 
Facts ndio unafuata
 
ni sawa kabisa ila point yako ya mwisho itajirihidhisha tar 25oct kua alisema atabaki kua mpinzani wa kwel au ataingia magogoni
mtashindana lakin hamtashinda.. mim naendelea ku-count down.
 
Hivi UKAWA wanaotaka kujua kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa nini wasimuulize mwenzao Sumaye?

Mbona yeye anajua kila kitu kuhusu uuzwaji huo maana yeye ndo alikuwa bosi wa Magufuli kama waziri mkuu kipindi hizo nyumba zinauzwa…..

EEEH mnamuuliza Magufuli kashfa ya Nyumba za serikali wakati waziri mkuu aliesimamia uuswazi wa nyumba hizo ni mwanachama wenu….

Kwaio sumaye ndo alimuaguiza na kumfanya magufuli amuonge hawara wake nyumba za serikali 😕
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh! Hivi hawa jamaa huwa wana records za kusikilizaga wanayo yaongea!? Maana ukiwasikia wanayo yaongea sshv utadhani sio wao walioongea awali!

Wana short memory.
 
Hivi UKAWA wanaotaka kujua kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa nini wasimuulize mwenzao Sumaye?

Mbona yeye anajua kila kitu kuhusu uuzwaji huo maana yeye ndo alikuwa bosi wa Magufuli kama waziri mkuu kipindi hizo nyumba zinauzwa…..

EEEH mnamuuliza Magufuli kashfa ya Nyumba za serikali wakati waziri mkuu aliesimamia uuswazi wa nyumba hizo ni mwanachama wenu….

Hawa wameshajua ujinga wao ndo mana wakaamua kuja uykawa kusaidia wananchi. Mwambie nape hii shift yako aliekuweka kuna vichaa humu kalale
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom