WayOut
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 752
- 173
SUMAYE AWAJIBU UKAWA KUHUSU UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI ..
Hivi UKAWA wanaotaka kujua kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa nini wasimuulize mwenzao Sumaye?
Mbona yeye anajua kila kitu kuhusu uuzwaji huo maana yeye ndo alikuwa bosi wa Magufuli kama waziri mkuu kipindi hizo nyumba zinauzwa ..
EEEH mnamuuliza Magufuli kashfa ya Nyumba za serikali wakati waziri mkuu aliesimamia uuswazi wa nyumba hizo ni mwanachama wenu .
Duuuuh! Hivi hawa jamaa huwa wana records za kusikilizaga wanayo yaongea!? Maana ukiwasikia wanayo yaongea sshv utadhani sio wao walioongea awali!
Last edited by a moderator: