Sumaye awasambaratisha UKAWA mchana kweupe

Sumaye awasambaratisha UKAWA mchana kweupe

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024

Hivi UKAWA wanaotaka kujua kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa nini wasimuulize mwenzao Sumaye?

Mbona yeye anajua kila kitu kuhusu uuzwaji huo maana yeye ndo alikuwa bosi wa Magufuli kama waziri mkuu kipindi hizo nyumba zinauzwa…..

EEEH mnamuuliza Magufuli kashfa ya Nyumba za serikali wakati waziri mkuu aliesimamia uuswazi wa nyumba hizo ni mwanachama wenu….

Last edited by a moderator:
Vipi kuhusu kuwagawia vimada (wasio watumishi) nyumba za serikali! hilo nalo lilipitishwa na baraza la mawaziri?
 
huwezi kusukuma gari ukiwa ndani yake lazima uteremke @##$%&&huwezi leta mabadiliko ukiwa ndani ya ssm
 
10592845_1476076819386469_8595139461821375580_n.jpg
 
huwezi kusukuma gari ukiwa ndani yake lazima uteremke @##$%&&huwezi leta mabadiliko ukiwa ndani ya ssm
Ndio maana yule Muongo kawajibu leo kuwa aliye uza ni YEYE SUMAYE AND NOT MAGUFULI.

Hivi huwa mnalipwa kusema Uongo?
 
Ndio maana yule Muongo kawajibu leo kuwa aliye uza ni YEYE SUMAYE AND NOT MAGUFULI.

Hivi huwa mnalipwa kusema Uongo?

sio kulipwa muasisi wenu alishasema mpinzan wa kweli atatoka ndani ya ssm we unasubiri nini kuamini
 
SUMAYE AWAJIBU UKAWA KUHUSU UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI……..

Hivi UKAWA wanaotaka kujua kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa nini wasimuulize mwenzao Sumaye?

Mbona yeye anajua kila kitu kuhusu uuzwaji huo maana yeye ndo alikuwa bosi wa Magufuli kama waziri mkuu kipindi hizo nyumba zinauzwa…..

EEEH mnamuuliza Magufuli kashfa ya Nyumba za serikali wakati waziri mkuu aliesimamia uuswazi wa nyumba hizo ni mwanachama wenu….​

Mkuu mbona hilo sumaye mwenyewe ameshaalizungumza wakati anachukua form za uraisi alisema kuna tume TATU ziliundwa na zote zilieleza kuwa serikali ilikuwa inapata hasara kwa kuendesha hizo nyumba sasa sijui hapo mwenye shida ni nani hasa
 
Last edited by a moderator:
mr chin umepotea

Dah..jamaa kweli kapotea..kwenye hiyo poster ya magufuli hakuna mahali palipoandikwa ccm hata mara moja..eti mtanzania usipoteze haki yako kwa sababu ya chama????..chagua mchapakazi..duh..miaka yote mlikuwa mnatanguliza ccm yenye jembe na nyundo..mwaka huu mnaikwepa ccm???..ninauhakika mlikuwa tayari hata kubadili mavazi ilimradi muwapotoshe wananchi kwa uozo wa lichama lenu! Kwa kweli ni majanga!
 
SUMAYE AWAJIBU UKAWA KUHUSU UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI……..

Hivi UKAWA wanaotaka kujua kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali kwa nini wasimuulize mwenzao Sumaye?

Mbona yeye anajua kila kitu kuhusu uuzwaji huo maana yeye ndo alikuwa bosi wa Magufuli kama waziri mkuu kipindi hizo nyumba zinauzwa…..

EEEH mnamuuliza Magufuli kashfa ya Nyumba za serikali wakati waziri mkuu aliesimamia uuswazi wa nyumba hizo ni mwanachama wenu….​

Kama ni fisadi mpelekeni mahakamani

Ukitaka kujua siasa Maji taka zilivyo ngoja makomeo afike kwenye majimbo ya tibaijuka change na ngeleja
 
Last edited by a moderator:
sio kulipwa muasisi wenu alishasema mpinzan wa kweli atatoka ndani ya ssm we unasubiri nini kuamini

huwezi kukemea pepo wakati nawe upo ndani ya pepo unangoja nini kujitoa ndani ya pepo ili uweze kulikemea pepo
 
huwezi kukemea pepo wakati nawe upo ndani ya pepo unangoja nini kujitoa ndani ya pepo ili uweze kulikemea pepo
Sumaye is a liability to Ukawa just like Lowassa
 
watoto wa kdosi kama mr chin utawajua tu wakiumwa kutibiwa nje ya nchi ndomana hawatak mabadiliko, sisi malofa tunaofia kwny vibench vya hosptl zetu za kata ndio tunaolilia mabadiliko.. watu tuna hasira na ccm kwny uchaguz huu, tumechoka kushuhudia mama zetu wakijifungulia kwenye mabench ya hospital
 
Back
Top Bottom