Kwa mujibu wa Katibu yetu ya sasa pamoja na madhaifu yake mtu unaukwaa urais kwa kupitishwa na Chama na kupata kura nyingi za wananchi kuliko wagombea wengine. Sikubaliana na maoni ya Sumaye kuwa lazima dola ikukubali. Katiba haisemi hivyo asilani.

hapa Sumaye katoa uzoefu alioupata akiwa waziri mkuu.Mojawapo ya hoja alizosema Sumaye Leo na waandishi kuwa ili mtu apate Urais ni lazima akubaliwe na Wananchi,chama na DOLA.kwa maana kuwa kimojwapo kikikutaa ,basi wewe uongozi unausikia kwenye bomba.
My take
Chadema wadai DOLA ilichakachua kura zake na kumtaganza JK kwa kuwa DOLA haikutaka Slaa apate urais,
Sasa imedhibtika rasmi kwamba madai ya chadema ni ya kweli kwa kuwa yamesemwa na mtu aliyeko jikoni mwa CCM.
Hata mie nimeona kama kakosea kwa hilo.
Sumaye hakuuma Maneno, amesema kabisa vitu 3 ambavyo viatafanya m2 aweze kuingia madarakani ni Wananchi, Chama Chake na Dola. Msitake kedit, Dola ni kweliiiiiiii kabisa Rais wangu slaa alichinjiwa dolani
Mbona hilo liko wazi tu mwanangu, rejea kauli za kina Shimbo na Zoka.