Kwa yoyote alie angalia vyombo vya habari ataona kabisa jinsi ambavyo CCM wanajikanganya juu ya rais ajae!na kwa maelezo ya Makamba utagundua ni kwa jinsi gani CCM hawamtaki Sumaye,kwani kitendo cha Makamba kumjibu Sumaye kwamba ajenge tabia ya kuongelea ndani ya vikao na kwamba ajibishane na CDM naona ni kama kumtaka Sumaye ahamie CDM!
na pia sijaelewa ni kwa vipi CDM ihusishwe na mgogoro wa UVCCM na Sumaye.
Je wana CDM mpo tayari kumpokea Sumaye endapo atatangaza kuhamia CDM?na je Sumaye anafaa kuwa president?hana kashfa za kifisadi?udikteta?
naombeni msaada!
Hafai, hatumhitaji, timu inatosha kabisa sasa tunahitaji vijana wa vyuoni tutawasomesha na wataenda kuchukua majimbo come 2015
tunamkaribisha,CDM ni wote wenye mapenzi mema na nchi
sumaye amekwisha sema kuwa rais uchaguliwa na wananchi, chama chake cha siasa na dola. dola inachaguaje rais?
Ebo, vijana gani wanaosomeshwa na ccm, wewe kweli hanazo!Mtawasomesha vijana wa vyuoni???!thats crazy!vijana wa vyuoni wameshasomeshwa na ccm,hata kama ni kwa shida!mbona chadema wabagudhi,so usipotoka chuoni huwezi kwenda jimboni??ah kumbe chadema wajanja sana,wana2tumia ujinga wa watanzania kupata madaraka!wanajua watanzania wengi ni wajinga wanashobokea vidigrii vya kudesa....duh uchu wa madaraka ni noma
Na aende huko Chadema, sijui anasuburi nini? yeye UVCCM wamemwapia kuwa hatakiwi ndani ya chama chao na Chadema wameacha milango wazi kwa wale wote wanaokosa ccm.