Hood mbona hawafungwi? !#*
Pumbafu zao Sumatra na traffic police wote! Leo basi la Mohamed(sina uhakika kama ni Classic au Trans) limeua watu wanne likitokea Arusha na lenyewe walifungie au? Sasa hv nipo kwenye basi la Mghamba kuelekea kahama kasi yaje inatisha! Dereva wala hajari bamps mbaya zaidi nipo siti ya mwisho kabisa! Jamaa hajaigopi hata Sekenke mwendo ulelue! maaskari wakitusimamisha wanaongea na konda hata ndani hawaingii mambo yanakwisha! Ipo hvi zaidh ya asilimia 78 ya ajari za mabasi ni uzembe wa madereva.Sasa unafungia kampuni moja nyingine inaua utafungia ngapi? Lazima washughulike na madereva.

we ndofu ..huna namba za polisi ukaripoti juu ya huo mwendo kasi?
ila nchii hii hakuna haki kabisa...........kila siku sumr inaua lakini mbona hawajaadhibiwa
mkuu hiyo kauli yako ifute ama sivyo na wewe ni dhaifu na legelege, kwani huyo dereva mnamuogopa hapo ndani ya basi?
yaani hata misaada tunayoweza kujipatia wenyewe tunataka MWANASHERIA MKUU atusemee
na huyo polisi traffic anakula rushwa mbele yenu mnaangalia maana yake ni nini? mna matatizo gani kichwa mpaka mnadharauliwa hivyo?
mbona wenzenu madereva tunawakomalia na wanatuliza hiyo mizuka yao
WATANZANIA TUBADILIKE MENTALITY ZETU NA SERIKALI inafuata tu maana hawata kuwa na pakushika kwa kiasi kikubwa mambo mengi yanakwenda mlama huku tukiangalia
We unashangaa ya kutofungiwa hood!Vipi SUMRY zilizokuwa zinafululiza kutuchinja?

mkuu hiyo kauli yako ifute ama sivyo na wewe ni dhaifu na legelege, kwani huyo dereva mnamuogopa hapo ndani ya basi?

yaani hata misaada tunayoweza kujipatia wenyewe tunataka MWANASHERIA MKUU atusemee

na huyo polisi traffic anakula rushwa mbele yenu mnaangalia maana yake ni nini? mna matatizo gani kichwa mpaka mnadharauliwa hivyo?

mbona wenzenu madereva tunawakomalia na wanatuliza hiyo mizuka yao

WATANZANIA TUBADILIKE MENTALITY ZETU NA SERIKALI inafuata tu maana hawata kuwa na pakushika kwa kiasi kikubwa mambo mengi yanakwenda mlama huku tukiangalia
mi mwenyewe nilikuwa nataka niulize kuhusu Sumry....kila mwezi lazima tusikie ajali ya hili bus.....mbona halifungiwi?....

Kiwanda cha ajali za barabarani, lakini wanapeta tuu.

No one thinks straight i tell you, watu ni bure kabisa.

Hiyo ya sumatra kufungia champion itapunguza ajali?