Wewe ni bonge la genius . Ila bongo mambo mengi huendeshwa tofauti na logicSasa hii adhabu hawaoni inamuumiza mmiliki wa gari wakati kosa kafanya dereva. Sheria hapa inasemaje? Kwa nini dereva asinyang'anywe leseni yake na mmiliki wa gari akaendelea na biashara yake?