SUMATRA na Traffic Police

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
31,922
33,366
Naomba kuwauliza swali, mnapoingia kwenye mabasi na kufanya ukaguzi huwa mpo serious au mnafanya maonyesho tu!

Picha hii hapa ni ya moja ya viti vya bus la Nyehunge kutoka Mwanza - Morogoro

Vngi ya viti vimenyofoka na mingi ya mikanda ya usalama nayo ni kama inavyoonekana
 
Hao jamaa wapo serious kwenye kuandikia tiketi madereva wa vipaso na ist huku mjini wakivuka zebra au hata akipita na gari imewasha mziki mkubwa..... Mabwege kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…