Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Ni ufinyu wa mawazo,
wanaotoa hizo ratiba wanasafiri na kilimo kwanza 7 hours yuko mbeya. kwanza mie naona hata sheria za kutosafiri ucku ni upuuzi kabisa.
1. ni kwa nini mpaka leo hakuna dalili za kujenga highway
2. zamani arusha ilikuwa nenda rudi na magari ya zamani barabara za vumbi leo lami ZONGTONG na YUTONG BADO WALAZIMISHWA KWENDA MASAA 12 Upuuzi ni majipu hayo!!
Mie naona watu wachagye kama wataka la kulala njiani sawa kama wataka la one day trip sawa.
I.E Kulikuwa na bus la ALyys dar mwanza lilikua linaingia mwanza saa 12 na nusu
Musoma express linaingia musoma saa nne au tano!!
mbona bado ajali zatotokea?
gari ndogo je?
ukisikia vituko ndio hivi, akili zetu kama za fundi seremala kila sehemu gonga msumari, isitoshe sababu za kuzuia magari yasitembee usiku ni za ajabu tu, fikiria unatoka Dar unaambiwa ulale misigiri kisa sekenke kuna majambazi yaani ka mlima kama kichuguu askari wameshindwa kuwadhibiti hao majambazi miaka ishirini sasa? tukiwa na misitu kama rwelu triangle itakuwaje?Ni upuuzi tu, ushawahi sikia ajali za mabasi yanaouwa watu zinatokea usiku? Ni kuongezea garama abiria tu
Ila zamani tulisafiri usiku kucha na kulikuwa hakuna ajali.Ni sawa maana bado madereva wetu hawajajitambua kuweza kuachiwa kuendesha usiku kucha
Miaka ile barabara zilikuwa mbovu kwa hiyo haikuwa rahisi kukimbiza gari, na magari yalikuwa machache, kwa mfano safari ya Mwanza mbeya ilichukua wiki nzimaIla zamani tulisafiri usiku kucha na kulikuwa hakuna ajali.