SUMATRA: Muwe na huruma na Watu wa Kibamba na Kiluvya

ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
4,976
2,000
Mlipanga nauli ya mwendokasi kuwa kutoka Gerezani /Kivukoni au Morocco kwenda Mbezi ni Shillingi 800 mbona leo imekuwa 1050 .Mnaanza kuzuia magari yatokayo Mlandizi kuishia Mbezi .Je, mpo sahihi kwa hill baadae mkitumbuliwa mtasema mnaonewa maana mambo mengine kukomoana tu.
 
Easyway

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
2,606

Mwambieni mbunge wenu na viongozi wa wilaya wafuatilie Sumatra inabidi iwepo ili maisha yawe marahisi lakini wao wapo ili maisha yawe magumu
 
ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
4,976
2,000
Mwambieni mbunge wenu na viongozi wa wilaya wafuatilie Sumatra inabidi iwepo ili maisha yawe marahisi lakini wao wapo ili maisha yawe magumu

Nadhani Taasisi ipo kwa ajili ya kukomoa watu na si msaada tena.Malalamiko tushapeleka kwao hao hao lakini bila bila.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom