Chibati
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 151
- 212
SUMATRA haya mateso tunayofanyiwa na hawa Udart sijui kama nyie yanawakuta moja kwa moja. Tafadharini mngerejesha tu njia zilizoathiliwa na usafiri huu mpaka hawa Udart watakapojirekebisha. Maana sasa ni mateso na sio usafiri sahihi kwa sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app