Suma jkt na g4s security ipi inayolipa mshahara mzuri ?

Habari zenu wakuu naulizia jinsi ya kupata kazi suma jkt au g4s security namna gani wanaaply ? Na inachukua mda mda gani ? Mimi Nina mafunzo ya jkt mjibu wa sheria nina elimu ya form six division three na mishahara yao ikoje ?
 
Suma jkt wanachukua mtu mwenye cheti cha mgambo au cha jkt g4s wanachukua mtu mwenye cheti cha form mwenye afya njema....
 
SUMA JKT hutoa priority kwa wale waliopitia mafunzo ya JKT, na ajira huzitangaza kule kule JKT kama vyombo vingine vya ulinzi na usalama vinavyofanya.

Hao wengine sijui utaratibu weao.
 
Back
Top Bottom