pombe kali JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 312 Reaction score 616 Mar 2, 2017 Thread starter #21 Askari Muoga said: suma jkt sio kampuni Click to expand... MIRADI YA SHIRIKA Katika kutekeleza majukumu yake, shirika limegawa miradi yake katika makundi makuu matano (5), nayo ni; Mradi wa Ujenzi Miradi ya Kilimo, Uvuvi na Ufugaji Miradi ya Viwanda Mradi wa Zana za Kilimo (Matrekta na Vipuli vyake) SUMAJKT Guard Limited suma jkt ni shirika la uchumi ila jkt ila suma jkt guard limited ni kampuni ya ulinzi kama ilivyo ultimate na zingine zozote zile
Askari Muoga said: suma jkt sio kampuni Click to expand... MIRADI YA SHIRIKA Katika kutekeleza majukumu yake, shirika limegawa miradi yake katika makundi makuu matano (5), nayo ni; Mradi wa Ujenzi Miradi ya Kilimo, Uvuvi na Ufugaji Miradi ya Viwanda Mradi wa Zana za Kilimo (Matrekta na Vipuli vyake) SUMAJKT Guard Limited suma jkt ni shirika la uchumi ila jkt ila suma jkt guard limited ni kampuni ya ulinzi kama ilivyo ultimate na zingine zozote zile