wazabangah1
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 315
- 114
i miss this dude in music industry, suma genius, suma gangster, last year he came up with a certain song called "muulize meneja" featuring prof j, bongo music industry is full of magumashi so wasanii wengi talented na wanaojitambua wanapotezwa kimtindo.
#Hotpot Family#s
kuna kipindi alianzaanza kurudi, kuna track alimshirikisha QRacka, ila alijizika kabisa alipojiunga na vinega kipindi kile cha battle lao ni Ruge
I didn't hear that song! But I think some of artist fail to overcome a challenges on how to maintain a fame and at the same time to make sure that songs went to be released base on the real situation of our daily life but hope the guy ↓ ↓ there say about #VINEGA lead to the disappearance of Suma G I don't know the relation between them so may be someone came and clear it well in order to ne known.
Vinega ni kundi lililoongozwa na Sugu ambao waliunganika wasanii wanaodai kunyonywa na kubaniwa na Ruge (Clouds Fm), lilivuma sana miaka ya 2010-2012. Kama hukuwajua vinega kwa wakati huo u mean that hufatilii mziki
Vinega nilikua nawafaham mkuu ila Nilichokua nahitaji ni jinsi gani Suma G alijiunga vinega ile hali alikua nakundi lake la uswahilin matola, napia istoshe bado anakipaji Kama akiamua kurudi kwenye hii music industry Ana nafasii kubwa kwasababu mashabiki wake tumizi miss zile swaga sake
Hakuwahi kuwa Uswahilini Matola bali aliwahi kuwa Hot Pot Family na kina Soggy Doggy Anter. Vinega 'Antivirus' was just a movement iliyohusisha wasanii tofauti, halikuwa kama makundi mengine kwa ajili ya kufanya muziki
you talking about the dude tuliocheza wote kitaa kimoja tokea wadogo...suma anaishi uwanja wa ndege mitaa ya karakata..he and i share pain and laughters...he went music way i went university way.....i know the dude very damn well,we grew up in mwembechai neighborhoods....we didn't have sh*t to brag about...let me say no more..
Kuna siku.nilimwona anakunywa gongo matejoo Arusha
Anauza karatasi za ream UDSM
you talking about the dude tuliocheza wote kitaa kimoja tokea wadogo...suma anaishi uwanja wa ndege mitaa ya karakata..he and i share pain and laughters...he went music way i went university way.....i know the dude very damn well,we grew up in mwembechai neighborhoods....we didn't have sh*t to brag about...let me say no more..
Wewe mmarekani wa Tandale,umeulizwa Suma yuko wapi, anafanya nini na je ana ndoto ya kurudi kwenye music industry? Sio damn mara university way na mziki way oooh....yoyoyooo na mboyoyo mingi.
tunaishi separate bit these days lakini ukiongea naye na kumuuliza whatsup mbona kimya atakwambia ana mistari mingi na amerekodi tracks kadhaa,tatizo linabaki ni kwamba washikaji ambao walishakuwa mainstream hawako tayari kumbeleza dj apige joint yake na hawa presenters ni njaa na ukichukulia kile ni kizazi cha madj kama dj jdambao hawakuwa na longolongo....kimsingi mshikaji anasimama kwenye misingi ya kwamba kama you are talented sio tena kuanza kupita njia za kubembelezana na kupigiana magoti kama underground if you know what i mean.Daaaaaah! Men sound good and I see the real love on you thought! But suma g have gota real talent! men and as a fun we need to hear that swagger back again on the line that why you see the thread with high content like this, so please tell us anambishee gani right now na nini plan yake kwa hii gemu! Je ukimtizamaa anaham ya kurudii tenaa tujuzeee brother!
I didn't hear that song! But I think some of artist fail to overcome a challenges on how to maintain a fame and at the same time to make sure that songs went to be released base on the real situation of our daily life but hope the guy ↓ ↓ there say about #VINEGA lead to the disappearance of Suma G I don't know the relation between them so may be someone came and clear it well in order to be known.
Wewe mmarekani wa Tandale,umeulizwa Suma yuko wapi, anafanya nini na je ana ndoto ya kurudi kwenye music industry? Sio damn mara university way na mziki way oooh....yoyoyooo na mboyoyo mingi.