Sum sim sim zinauzwa

Sum sim sim zinauzwa

masai gel

Senior Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
125
Reaction score
42
$70 kwa kila moja lakini kwa masharti ya kuanzia 3000 made in korea uploadfromtaptalk1371580150811.jpg uploadfromtaptalk1371580150811.jpg uploadfromtaptalk1371580172282.jpg
 
haupo siriaz!

simu brand gani?
specifications?
unapatikana wapi?
mawasiliano ?
mpya au used?
quantity?

jipange:kev:
 
haupo siriaz!

simu brand gani?
specifications?
unapatikana wapi?
mawasiliano ?
mpya au used?
quantity?

jipange:kev:

Niko seriaz mkuu kama unahitaji ni dm nitakupatia inf zote ni new brand nachukua order kwa sasa dizaini ni hiyo
 
Niko seriaz mkuu kama unahitaji ni dm nitakupatia inf zote ni new brand nachukua order kwa sasa dizaini ni hiyo

We hauko serious maana hata kuweka info za biashara yako umeahindwaa unataka watu tukuPM ushashindwa hapo
 
masai gel , nimeona pumba kwenye comments zako unazochangia humu jamvini hata kama ungekuwa unauza simu kweli nisingenunua......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom