Suluhisho USA, AK & Co. Wazungu wajitenge waunde States zao wawaachie waliobakia Amerika!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Multiculturalism imeshashindikana, ushahidi uko wazi kuanzia USA mpaka AK, sasa hivi USA inawaka moto, suluhisho pekee ni ,, racial segregation” nina uhakika kila ,,race” ikikaa peke yake itafanya inavyotaka, ...

1590736753564.png
 
Muzungu ni mutu shetani

Pmj na hujuma wanazotufanyia race yao itaisha watatuacha
 
Ukiangalia hizo picha wanaoandamana wengi ni weupe kupinga kilichofanyika na hata katika zoezi la wizi wa madukani unaoambatana na maandamano hayo weupe pia wapo wengi. Kumbuka hapa marekani kuna mchanganyiko wa watu wa mataifa mbalimbali wengi weupe walalahoi kama sisi wanajiona nao ni waafrika na wanateswa kama weusi
 
Hahaa, Wale wazungu ma extremist huwa ndio wana mawzo kama yako, hawa wanaona kuchanganyika na watu weusi ama Waarabu haifai kwa sababu hawaendani kifikra wala kitamaduni

kuna vyama vya siasa vyenye mirengo na itikadi ambavyo vinaaminikuchanganyikana kunaharibu utamaduni wa mzungu na vimepata umaarufu sana kipindiu hiki huko Ulaya sababu ya wakimbizi wengi kutoka nchi za Kiarabu na Africa ambao hata wazungu wa kawaida wameanza kuwaona kero
 
Ukiangalia hizo picha wanaoandamana wengi ni weupe kupinga kilichofanyika na hata katika zoezi la wizi wa madukani unaoambatana na maandamano hayo weupe pia wapo wengi. Kumbuka hapa marekani kuna mchanganyiko wa watu wa mataifa mbalimbali wengi weupe walalahoi kama sisi wanajiona nao ni waafrika na wanateswa kama weusi

Biashara za ,,minority” hazikuguswa, ila Biashara za Muzungu zote zilichomwa moto, kwa nini?

1590737286691.png
 
Na hawa machotara

Watajijua, angalia Japan hakuna shida kwa maana karibia 100% ni Wajapani hata kwetu Tanzania hakuna shida kwa maana > 98% ni Wabantu ila Kenya, Uganda Ethiopia, Nigeria na wengineo kila siku vita, ni kwa sababu wanalazimisha watu wasiofanana kuishi pamoja, ...
 
Back
Top Bottom