Suluhisho la nguvu za Kiume

Suluhisho la nguvu za Kiume

The Whistleblower

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
269
Reaction score
458
Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume.

Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume.

Mimi ni victim mkubwa sana wa Tatizo hilo,na baada ya kupona nimeona bora nitoe Elimu ya bure kwa wanaume wenzangu.

Wengi wametapeliwa mamilioni ili kutibu Tatizo hilo na bado hawaponi.

Kama hukuzaliwa hanithi ila tu uume wako umeanza kulegea ama kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa,hii hapa ndo Tiba.

1.TIBA YA KIROHIO

Inawezekana Tatizo lako lilitokea baada ya wewe kutembea na mwanamke usiyemjua,ktk ulimwengu wa Roho Kuna wanawake wana mikosi,nuksi na hata laana,Kuna wanawake ukitembea nao tu unafukuzwa kazi,au kufa kabisa au nguvu zako za Kiume kupotea jumla.

Hili jambo watu wengi mno hawajui kabisa,tiba yake siyo waganga wa kienyeji,ni maombi makali kupitia watumishi wakubwa wa Mungu na kutumia vifaa vya kiroho kama maji ya upako au mafuta ya upako.
Nakuhakikishia kabisa utapona.

2.TIBA YA KISAYANSI
Endapo Tatizo lako halihusiani na mambo ya kiroho niliyotaja hapo juu basi usipoteze pesa zako kwa Madokta feki wanaotangaza Dawa kwenye TV. Tumia Dawa hizi rahisi kabisa kuzipata.

1.Kula majani ya mpera matatu kila siku,yatafune kama mbuzi na umeze mwezi mzima.
2.Kunywa yai bichi la kuku wa kienyeji kwa siku 21.
3.Kunywa asali mbichi vijiko vitatu mara tatu kwa siku kwa mwezi mzima.
4.Kula sana karanga kwa siku au korosho( siyo bibo)
5.Kunywa kahawa vikombe viwili kwa siku,usitumie kabisa majani ya chai.
6.Kula karoti hata moja tu kila siku kwa mwezi mzima.
7.Kunywa maji kila siku yasiyopungua Lita moja.
8.Acha kunywa pombe na acha kuvuta sigara.
Fanya hayo utarudi humu Kunishukuru.
 
Tafuta hela ndio nguvu za kiume.Tusichoshane👍
 
Nawaza tuu 🤔🤔

Yaani mtu ule majani ya mpera kama mbuzi hapo hapo nije nitafune karanga, korosho, mida ya mchana nije kunywa Yai bichi la Kuku wa kienyeji, maji Lita Moja , badae tena nishushie karoti na kikombe cha kahawa 😁😁

Nashindwa kuelewa mleta mada fafanua vizuri kama tuna tumia vyote Kwa wakati Mmoja?
 
Nawaza tuu 🤔🤔

Yaani mtu ule majani ya mpera kama mbuzi hapo hapo nije nitafune karanga, korosho, mida ya mchana nije kunywa Yai bichi la Kuku wa kienyeji, maji Lita Moja , badae tena nishushie karoti na kikombe cha kahawa 😁😁

Nashindwa kuelewa mleta mada fafanua vizuri kama Kuna ulazima wakutumia vyote
Siyo lazima utumie vyote kwa siku,Tumia kadri unavyoweza
 
Huna hela utapata wapi nguvu za kiume?
Huna hela utapata wapi libololo lazima uwe kibamia tu.

Lishe za kimaskini ndio matokeo yake haya sasa unayoyaona ukubwani.
 
Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume.

Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume.

Mimi ni victim mkubwa sana wa Tatizo hilo,na baada ya kupona nimeona bora nitoe Elimu ya bure kwa wanaume wenzangu.

Wengi wametapeliwa mamilioni ili kutibu Tatizo hilo na bado hawaponi.

Kama hukuzaliwa hanithi ila tu uume wako umeanza kulegea ama kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa,hii hapa ndo Tiba.

1.TIBA YA KIROHIO

Inawezekana Tatizo lako lilitokea baada ya wewe kutembea na mwanamke usiyemjua,ktk ulimwengu wa Roho Kuna wanawake wana mikosi,nuksi na hata laana,Kuna wanawake ukitembea nao tu unafukuzwa kazi,au kufa kabisa au nguvu zako za Kiume kupotea jumla.

Hili jambo watu wengi mno hawajui kabisa,tiba yake siyo waganga wa kienyeji,ni maombi makali kupitia watumishi wakubwa wa Mungu na kutumia vifaa vya kiroho kama maji ya upako au mafuta ya upako.
Nakuhakikishia kabisa utapona.

2.TIBA YA KISAYANSI
Endapo Tatizo lako halihusiani na mambo ya kiroho niliyotaja hapo juu basi usipoteze pesa zako kwa Madokta feki wanaotangaza Dawa kwenye TV. Tumia Dawa hizi rahisi kabisa kuzipata.

1.Kula majani ya mpera matatu kila siku,yatafune kama mbuzi na umeze mwezi mzima.
2.Kunywa yai bichi la kuku wa kienyeji kwa siku 21.
3.Kunywa asali mbichi vijiko vitatu mara tatu kwa siku kwa mwezi mzima.
4.Kula sana karanga kwa siku au korosho( siyo bibo)
5.Kunywa kahawa vikombe viwili kwa siku,usitumie kabisa majani ya chai.
6.Kula karoti hata moja tu kila siku kwa mwezi mzima.
7.Kunywa maji kila siku yasiyopungua Lita moja.
8.Acha kunywa pombe na acha kuvuta sigara.
Fanya hayo utarudi humu Kunishukuru.
Matumizi ya kahawa kwa wingi au muda mrefu sio salama sana kwa afya yako
 
Achana na majani ya mpera huo ulofa, nguvu za kiume home ukishusha ghorofa...

Boshoo
 
Yai bichi Lina kupa pitch ya sauti ya KWANZA sasa na nguvu za kiume zimezorota, damn!
 
Back
Top Bottom