Suluhisho la biashara ya madawa ya kulevya hii hapa.

mathabane

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
2,406
1,889
Najua wengi hapa watanipinga kwa kuingiza siasa za maji taka pamoja na wale waliolishwa umagharibi kwa kujiita watetezi wa haki za binadamu huku wakitetea ustawi wa maovu.

Ni wakati sasa kwa nchi kuchukua maamuzi kwa manufaa ya Tanzania ya leo,na Tanznia ijayo.

Ni wakati muhafaka wa kuwanyonga hadharani wahusika wote watakao thibitika kujihusisha na madawa ya kulevya kwa namna yoyote bila kuangaliana usoni.

Biashara yoyote inatawaliwa na nguvu ya soko.
Jambo la muhimu hapa ni mamlaka husika kuhakikisha soko linakuwa disturbed kwa namna yoyote!
Mathalani, watakapo kamatwa mateja wote wa madawa ya kulevya na kuuawa hadharani kwa kupigwa risasi, hii itajenga hofu kwa watumiaji ambao wengi ni matokeo ya uvivu na kupendea anasa na wamejiingiza huko kwa makusudi ilihali wakifahamu madhara.
Kampeni ya kuwauwa watumiaji hadharani itakuwa nguzo katika kuzuia watumiaji wapya maana hakuna atakaye kuwa tayari kupoeza shingo yake maana madhara yanajulikana.

Ukifanikiwa kuwauwa mateja ambao kimsingi ndio soko tegemewa, ni dhahiri soko litayumba na hapo hutakuwa na haja tena ya kutumia rasilimali nyingi za taifa kuwatafuta wazalishaji au wasafirishaji wakubwa maana hakuna atakaye kuwa tayari kufanya kazi ya hatari isiyo na soko la uhakika.

Hapa mtu anaweza asinielewe ninapo kazania mateja badala ya Madon wenyewe. Katika mtizamo hafifu huwezi kuona moyo wa biashara hii ya madawa ya kulevya.
Hapa mimi siwatazami mateja kama mateja bali kama moyo wa biashara yenyewe ambao kimsingi ndili soko lenyewe linaloshindaniwa na kutegemewa nawazalishaji na wasafirishaji wakubwa.

Faida kubwa ya njia ya kuwauwa mateja ni kwamba serikali itaokoa kiasi cha fedha kikubwa sana kinachotumika katika kuwekeza katika miundo mbinu ya kukagulia madawa ya kulevya sehemu mbali mbali, pia pesa nyingi zinazotumika kufanya oparesheni za kuwasaka wauzaji na wasafirishaji zitaokolewa.

Halikadhalika, mapesa mengi yanayotumiwa na serikali katika kununulia dawa za kuwatibu mateja zitakuwa zimeokolewa na kuelekezwa katika sekta zenye uhitaji wa lazima kwa watanzania wote.

Mwisho nimpongeze Mh.JPM kwakuweka wazi kuwa serikali yake haitojihusisha na watanzania waliohukumiwa kunyongwa nchi za nje baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya.

Hii ndio kauli dhabiti ya kiongozi shupavu ambayo inatoka kwa mpambanaji,jemadari mwenye dhamira.
Kama jitu likikamatwa kwa biashara hizi chafu acha linyongwe huko huko hakuna serikari kujihusisha.

Tukitaka kudhamiria mapambano, hakuna kutazamana usoni ndugu zangu vinginevyo tutazunguka na kurudia tulipokuwa jana.

Wapo wanasiasa na wanaharakati uchwara watakao jifanya kupinga, kumbuka hao wote ni wanufaika wakuu wa buashara hii ila kwa macho mepesi jamii haito watambua mpaka iwepo dhamira ya kweli katika mapambano haya makuu.

Naomba kuwasilisha kwenu wakuu!
 
Hizo ni ndoto za alinacha tu, hakunaga kitu kama hicho, hii sio banana republic!
 
Kwa nini isiwezekane? Mbona wafilipino na wachina wanaweza? Ni kukosa dhamira tu pamoja na uwapo wa wtu kama nyinyi lakini wakati utafika hapatakuwa na suluhu zaidi ya kuwatwanga risasi za kichwa wahusika.
 
Hujui binadamu wakoje ndio maana unadhani watu wanaogopa kupigwa risasi hadharani. China wamekuwa wananyonga wauzaji lakini waliokwepa kukamatwa hawaachi. Hata ukiua mateja wote wauzaji watatengeneza mateja mengine. Yanatengenezwa tangu yakiwa shule ya msingi.
 
Unaongea kama Trump akiwa kwenye kampeni, sasa kashika mpini yanamshinda from day 1!? Hizo zako ni typical academic theories ambazo it would take some mad men kama Duterte wa Philipino na Jong Un wa korea kaskazini kuzitekeleza! Sio hapa tanganyika bhana! Punguza mihemuko!
 
Kushindwa hakupo bila kujidharau. Wataganyika tunashindwa kabla ya kushindana sababu ya ugonjwa wa kujidharau na uoga wa kuanzisha!
 
Tatizo sio kuwanyonga hadharani tatizo ni nani atakayemnyonga mwenzake?????Leo unyonge kesho unyongwe wewe je upo tayari??????????
 
Hujui binadamu wakoje ndio maana unadhani watu wanaogopa kupigwa risasi hadharani. China wamekuwa wananyonga wauzaji lakini waliokwepa kukamatwa hawaachi. Hata ukiua mateja wote wauzaji watatengeneza mateja mengine. Yanatengenezwa tangu yakiwa shule ya msingi.
Ni dhamira tu! Wakipatikana mateja hata kama shule za msingi nikuwafuata huko huko, wanapimwa, wakithibitika wanalazwa kifudifudi uwanjani wanavunjwa vichwa kwa risasi. Baada ya zozi kukamilika kila mzazi atamchunga mwanae!
 
Kwa nini isiwezekane? Mbona wafilipino na wachina wanaweza? Ni kukosa dhamira tu pamoja na uwapo wa wtu kama nyinyi lakini wakati utafika hapatakuwa na suluhu zaidi ya kuwatwanga risasi za kichwa wahusika.
kwanza unayajua madawa ya kulevya
yapo aina ngapi? (wakati kila siku unakunywa (Pepsi na coca) Mahospitalini yanatumika nk
sasa hivi hata viroba unakamatwa licha ya Bhange na misokoto
usiwauwe watoto wetu kwa stress zako
kwanza maliza gongo mitaani
 
Hapa napata picha halisi namnana ambavyo vita hii inataka dhamira ya ndani ya moyo. Adui anabaki kuwa adui hata kama ni mwanao au mpenzi wako.
Kumbukaa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.

Ili kujenga Tanzania ya kesho lazima tujitoe muhanga tuache siasa uchwaraa kama hizi!
 
ni mwendo wa kukusanya mateja yote stand na vijiwe vyote na wazazi wawatoe hao watoto walioharibika na madawa ya kulevya kuandaa handaki na kupiga risasi wote.bahati mbaya kwa sasa naumwa.Nitafutieni mmasai mlemavu au zeruzeru.unadhani hawazaliwi?hatuwezi kuendelea kwa kubembeleza watu.
 
Huo nintazamo na mawazo yako ila Mimi ninafikiri kuua nateja sio suluhisho kwakuwa utakuwa utakuwa unatumia matokeo badala ya chanzo cha tatizo.wauzaji ndio chanzo cha tatizo na hao ndio wakupigwa shaba.
 
Sawa ni mtizamo.
Rejea main post yangu. Unapaswa fahamu kuwa hii ni biashara inayotegemea soko. Kama hakuna walaji nani ataendelea kulima?

Kumbuka kuwa motisha ya mkulima ni ukubwa wa soko.

Jaribu kunielewa niliposema kuwa moyo ya madawa ya kulevya sio wazalishaji kama ambavyo watu wengi wanaamini bali mateja/soko.

Sera zikijikita katika kuharibu/kuteketeza soko hakika tutakuwa na matokeo chanya. Nafahamu hii ni njia inayo umiza miongoni mwetu ila ndiyo ya uhakika. Hizo zingine ni kupotezeana muda na resilimali kwa kufurahishana tu.
Ndo maana nikasema ni suala la kukosekana kwa dhamira.
 
Tatizo waafrica tunaishi kinafiki sana. Hii vita ilibidi iwe ya sembe aka cocaine. Chaajabu naona wanahangaika na majani yaliyompa busara mfalme suleman kwa kusema nayo ni madawa ya kulevya ilhali ushoga na upuuzi mwingi unaendelea nchini. Inatakiwa tujitambue jamani. Bangi haikutakiwa kuingizwa kwenye listi ya madawa, mm nimesoma na jams a zangu tangu mwaka 1968 wanatuMia majani ya mbuzi hadi Leo wapo vizuri nahauwezi kuwatambua.
 
Ikiwezekana sisi rastafarian turuhisiwe kulima hata miche minne majumbani kwetu. Sababu mmea kwa marastafarian nikama sehemu ya sacrameti.
 
Back
Top Bottom