Suluhisho kwa WafanyaBiashara

Suluhisho kwa WafanyaBiashara

Kiziwanda chema

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
289
Reaction score
478
Mali bila daftari huisha bila habari,
Sasa daftari limehamia kiganjani mwako kupitia Android Smartphone ambapo sasa unaweza ku-monitor biashara kwa ukaribu zaidi kupitia Android App yetu ya SMARTMAUZO.

SMARTMAUZO ni app inayokuwezesha kusajili bidhaa zako zote, na kurekodi mauzo yako ya kila siku na madeni pamoja na gharama za kawaida ikiwemo chakula na umeme, then itakuletea report yako jioni ya mauzo yote pamoja na gharama za medeni.
Report yoyote unayohitaji unaipata kulingana na data zako ulizo record either ya siku, wiki, mwezi, na Mwaka au kipindi maalumu utakachohitaji kupata report.

Inakuwezeha kumsajili muuzaji na kuweza kuona kile anachokifanya.

Unajisajili kwa Elfu 7 kwa mwezi wa kwanza then utakua unalipia Elf5 kwa mwezi.
Au unaweza kujisajili kwa miezi mitatu, sita au Mwaka kulingana uwezo wako.
Karibuni tutumie ujuzi wa Kitanzania

Kwa maelezo zaid, NiPM.
 
Karibuni sana
 

Attachments

  • IMG_20191014_182425.jpg
    IMG_20191014_182425.jpg
    3.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20191014-193452.png
    Screenshot_20191014-193452.png
    54.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20191014-193342.png
    Screenshot_20191014-193342.png
    39.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20191014-193427.png
    Screenshot_20191014-193427.png
    42.5 KB · Views: 3
Ungeaza kwa kutoa offer ya mwezi 1/3 kisha km ina manufaa ndio utafute kutengeneza faida wew unaanza tu na kutaka faida kweli!!!!
 
Ungeaza kwa kutoa offer ya mwezi 1/3 kisha km ina manufaa ndio utafute kutengeneza faida wew unaanza tu na kutaka faida kweli!!!!
Mkuu Tayari tulishatoa mda wa offer na sasa tunawateja wengi tu. Karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom