Sula la passport mbili hatari, wengine viongozi

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
Tetesi na maneno mitaani yapo na wahusika bila shaka wanajua ila wameuchuna tu kuna wabongo wanamiliki passport 2,za Tz an nchi nyingine haswa sweden,Uk na USA na kuna hadi watu maarufu na wanasiasa, kwa mfano.

Naibu waziri wa wizara nyeti kutoka zanzibar ,yeye alijilipuaga kabisa huko Uk akaomba ukimbizi leo yupo ndani ya serikali na mikwara kibao anapiga.

Mbunge wa chama cha upinzani,ni rapper pia ana gamba la USA.

Marehemu mbunge mwanamama wa upinzani akahamiaga ccm alikuwa na gamba la USA.

Boss wa redio fulani ya ujanjaujanja asiyeisha bifu na wasanii analo la USA

Hizo ni story za kitaa bila shaka zikifatiliwa ukweli utakuwepo ndani yake
Nawasilisha hoja.
 
Ngoja na mm ntafte ya pili
Safar hiii natafta ya kuzamia
Mexico
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom