Wote wanaoshiriki kuodhesha mabinti wadogo wanaostahili kuwa shule '
watachukuliwa hatua za kisheri,
hiyo sukuma ndani ni kuwakamata na kupeleka polisi,
Kiufupi yuko kwenye kampeni ya kuhimiza wazazi wapeleke watoto shule,
hataki kusikia hadhithi za kale kuwa mtoto kakataa shule,
yoyote atakae husika ata sukumwa ndani au kufyekelewa mbali hahahahaha!