Sukari yaadimika madukani, Rais Magufuli una taarifa?

kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
8,132
5,798
Mh. Rais, ni kuwa maduka mengi ya rejareja hayana sukari. Wale wafanyabiashara wa jumla ndio wanaouza sukari kwa bei ya sh.50000/- kg, 25 na 100000pa kg 50.

Hivyo wanaoweza kununua sukari kwa sasa ni wale wenye uwezo wa kununua kg 25,na kg50.wale wenzagu wa kg 1 na1/2kg ndo hivo tena.

My take: Serikali iangalie upya tangazo lake la kupiga marufuku sukari kutoka nje ya nchi.
 
ndio maana wezi wameingia kwangu na kuiba pakiti za sukari tu..ngoja nifuatilie
 
Huyo Magu kila jambo mnamwita mpaka kachanganyikiwa. Miluzi mingi? ..........
 
Data zako haziko Sawa kg 25 ni 25, 000? na kg 50 ni 100,000. Rekebisha kg 25 duka la jumla ni around 48,000 hadi 50,000
 
Uliitoa hii mada ukiwa unahitaji kunywa chai kwa huo ndio maana ulivyo kosa sukari ukaamua kupayuka
 
Wenye viwanda wangeweka maduka ya kusambaza bidhaa,hawa wafanyabiashara wao ni kazi tu,hawaangalii sura ya mtu
 
Kilo 25 ni 50000 na kilo 50 ni 100000 maisha yanapanda bei
50 mins ·
Uzalendo ni kutaka haki ya kidemokrasia Zanzibar. Haki ya Wananchi waliochagua viongozi wao oktoba 25, 2015. Sitakubali kuvishwa koti la uzalendo kwenye suala la MCC. Hilo ni suala la CCM, kukosa misaada ya Marekani ni matokeo ya ubabe wa CCM kuhusu Zanzibar. Haina mahusiano yeyote na Uhuru wa Nchi yangu. Nawasihi Wazanzibari wawe na subra Mola kamwe hatawatupa. Haki itapatikana tu. ‪#‎DemokrasiaTu‬. Nawasihi Watanzania kuelewa kwamba CCM ndio imetufikisha hapa na iubebe mzigo huu bila kufanya ni mzigo wa Nchi
zanzibar.jpg
 
Mh. Rais, ni kuwa maduka mengi ya rejareja hayana sukari.Wale wafanyabiashara wa jumla ndio wanaouza sukari kwa bei ya sh.50000/- kg, 25 na 100000pa kg 50.

Hivyo wanaoweza kununua sukari kwa sasa ni wale wenye uwezo wa kununua kg 25,na kg50.wale wenzagu wa kg 1 na1/2kg ndo hivo tena.

My take: Serikali iangalie upya tangazo lake la kupiga marufuku sukari kutoka nje ya nchi.
sijui huko kwenu, kwetu 1800 kama kawaida
 
Sina hakika kama umenielewa,tembelea maduka mengi ya rejareja sukari hakuna.na hii ni baada ya kutolewa matangazo kuwa sukari isiuzwe zaidi ya sh.1800/-bila kujali ni wapi inapatikana
Wewe uko wapi?,kwa mwanza sukari iko kibao ila bei bado ni 2,000
 
Back
Top Bottom