Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina Lissu ,maisha yanazidi kuwa magumu mtaani.
Hapa ndipo nnapo waona Maadmini wa JF nao hawajielewi uzi kama hu ulitakiwa ufutwe mara moja maana ni uzi ambao una taharifa za uongo leo tu asubuhi nimetoka kununua kilo ya sukari kwa shillingi 2500 wewe unaishi wapi hadi uuziwe 4000 au labda unaishi Kibiti.Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina Lissu ,maisha yanazidi kuwa magumu mtaani.
Tatizo unakoishi kuna tatizo la usafiri hivo mpaka kufika huko lazima gharama ipandeNi miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina Lissu ,maisha yanazidi kuwa magumu mtaani.
Nyambafu wewe unajua bei ya sukari kenya,ukisafiri sana umeenda lumumba tulia mzutiii shubamiiitWewe mburura wa Kichina, soma vizuri, hakuna alipoandika ksh5600 unapaswa kumuuliza kwanza kama hiyo ksh, au kaishaichange to Tsh.
Nchi gani hiyo?
Huku kwetu kilo ni 1800 mpaka 2000 tu, haizidi bei hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wangu naona kama nchi imesimama vile..Vitu haviendi kila kona,vitu vinapanda bei kila kukicha,shilingi yetu inazidi kupoteza thamani kila siku,deni la taifa linaongezeka. Honestly,sijui tunaelekea wapi. Halafu watu wanapiga siasa uchwara eti aongezewe muda wa kutawala. Hatuko serious kabisa
Hawezi kumdanganya house girl wake nyumbani wakati yeye mwenyewe ndio house girl.Huu ugoro kamdanganye house girl wako nyumbani
Aise. Si tuliambiwa haitazidi sh 1,800?Bei ya Sukari inanyooshwa kwani kuna mafisadi walikuwa wamejificha nyuma ya sukari wakawa wanakwepa kulipa kodi ya sukari. Wananchi tuvumilie mambo mazuri hayataki haraka.