Lazaroj
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,452
- 1,043
nimepata tetesi saivi mnazificha majumbani kwenuAu sasa hivi watasingiziwa watumishi wa serikali wameziiba na kuficha kwa kuwa safari hii ni serikali ndio imeagiza sukari
nimepata tetesi saivi mnazificha majumbani kwenuAu sasa hivi watasingiziwa watumishi wa serikali wameziiba na kuficha kwa kuwa safari hii ni serikali ndio imeagiza sukari
Si walisema watagawa BUREZilizo kamatwa mbona awauzi huku mwanza ni shida kabixa ata uje elfu nane awauzi paka mwenye duka akujue
Busara na hekima ni muhimu sana KATIKA MAISHA YA KAWAIDAHii wala siiti kuwa ni vita, huu udhaifu wa watu kutaka kuonekana kila waamuacho wao ndio sahihi, hapa ni busara kidogo tu, hata kijiko cha chai hakijai..........dakika mbili ni nyingi hili saga linaisha na maisha yanasonga kama kawaida.
Tatizo yupi wa kutoa hizo busara, kila mtu mbabe.
Kwani Lindi wewe umepaonaje? Ningeishi huko ningesema maana kuna watu pia wanaishi huko.
Nani anayemkwamisha sasa?sema anajikwamisha mwenyewe na maamuzi yakeWanajitahidi kumkwamisha Magufuli ila watashindwa tu.. Ata muweke kilo elfu 10 amumrudishi nyuma rais na juhudi zake kuwakomboa wanyonge.
Endelea kutumia uji wa malimao na chumvi mkuuHivi sukari ni muhimu sana ?
Hahaha...ase ni kweli huyo wa matombo morogoro anajifanya anaijua mlimani city.
Mimi nimeshaanza kufanya hayo. Sukari ilipoanza kupanda tu kama wiki tatu nyuma milikuwa na akiba ya robo kilo, nikasema inatosha sasa, sukari bye bye. Am stil alive and kickingWatanzania ni wagumu kubadilika, anzeni kutumia asali, anzeni kunywa uji wa chumvi, mwezi mmoja tu sukari itaanza kuuzwa tshs. 1,000/=