AlWatan Nyuki
New Member
- Jan 10, 2012
- 4
- 10
Jamaa mmoja mjini Mombasa alifika mkahawani na kumuita mhudumu. Mambo yakawa namna hii:
JAMAA: Chai ipo?
MHUDUMU: Ipo.
JAMAA: Mnauza bei gani kikombe kimoja?
MHUDUMU: Shilingi Ishirini
JAMAA: Na sukari itakuwa bei gani?
MHUDUMU: Sukari bure
JAMAA: Basi achana na hiyo chai, nifungie sukari kilo mbili. DUH!
JAMAA: Chai ipo?
MHUDUMU: Ipo.
JAMAA: Mnauza bei gani kikombe kimoja?
MHUDUMU: Shilingi Ishirini
JAMAA: Na sukari itakuwa bei gani?
MHUDUMU: Sukari bure
JAMAA: Basi achana na hiyo chai, nifungie sukari kilo mbili. DUH!