Sukari Inferior inauzwa wapi!?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,627
10,240
Nawashukuru Mods kwa kunifungulia ! Tunaendelea kujifunza kwa kuwa Dunia haijasimama !

Katika kipindi nilichokuwa ndani nilitatizwa na swali moja ambalo huku uswazi nimetafuta jibu sikupata!

Kuna kipindi Mheshimiwa Rais alituambiwa kuwa sukari inayotoka nje ni Inferior ,sasa kuna taarifa kuwa serikali iliagiza sukari kutoka nje na tayari ipo nchini .Aidha nimeona wadau wakisifia kuwa sukari imeshuka bei .

Sasa naomba kufahamu je sukari iliyopo mtaani ipo pia aina ya Inferior??
 
Kongwa sukari kilo moja ni shs 3,000= nimenunua leo asubuhi....
Hiyo ya nje sina hakika kama huku kwa SPIKA NDUGAI, ITAFIKA........
 
Back
Top Bottom