Yule bwana aliingia sukari ilikuwa inauzwa Tshs. 2,000/= per kilogram.. Baada ya kulazimisha iuzwe bei elekezi ya Tshs. 1,800/=, kukatokea vurugu kubwa, ikiwa ni pamoja na kutumia nguvu za dola na bei kupanda.. Matokeo yake sukari ikapotea na bei ikapanda mpaka Tshs. 7,000/= per kilogram.. Baada ya vuguvugu kwisha na sukari kurejea katika hali ya kawaida, bei ya chini ikawa ni Tshs. 2,500/= per kilogram..
Sasa amehamia kwenye makinikia huko, huku kwenye sukari ndo imetoka tena.. Halafu tuna akili zetu timamu, tunasema katiba ibadilishwe atawale mpaka atakapochoka..